Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 633
- 1,256
Mkuu umetema madini yote. Nilikuwa na Likwaya yaani tabia hizo hizo kama Wajita. Sio wa kuoa hao hawafai kabisa kabisa. Vijana huu ushauri mzuri sana kuweni makini na haya Makabila.Yes ndio zao na hapo ukisogea karibu yake ana punguza sauti au anakata kabisa simu ila ukitoka sasa unawekwa mezani wanaunga conference ukoo mzima wana jadili namna ya kukupuna vizuri na kukuendesha