antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Hahaha..Mkuu kumbe unataka kuoa na husemi?
Huyo ni mrembo bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha..Mkuu kumbe unataka kuoa na husemi?
Nasikia wajita na wakurya haziivi kabisa.Pale kuelewana sasa ndiyo shughuli pevu. Sijui utampata wapi? Lile kabila ni takataka kabisa ndiyo maana akina Mura wameamua kuwabana mpaka hawapumui!
🤣🤣🤣Kwa wazazi wanao wajua wajita ukiwapelekea mchumba wa kijita lazima walie kwasababu wanajua huna siku nyingi za kuishi
noma sana mzee!!!,,,wanaume wanatawaliwa na wanawake!!!,,mwanaume ukijifanya kukomaa wanawake wanakuua!!Wapangwa si ni wa huko njombe mkuu??
Naskia hawa jamaa na uchawi ni chupi na tako.
ludewa[iringa]Mkuu, Wapangwa wanapatikana mkoa gani?
Kila la kheri 😂😂.mh nimetia mimba mschana wa kijita najipanga nimpangishie na wewe unakuja na nyuzi za majuto hapa
Njombeludewa[iringa]
okNjombe
Endelea wanalia vizuri sana kwenye mapenzi ila aliyosema yote mleta mada ni halisi wajita ni mtihani sana angalau ujanani unaweza mmudu ila nguvu zikipungua kazi utakuwa nayo tena kubwa sanaHuu uzi umeniamsha kutoka usingizi, nilikuwa kwenye penzi Zito na mjita.
Una hoja makini; nashauri wanazengo wakusikilize.Wajita tabia zao unakuta mama kalea watoto wake yeye mwenyewe lakini unakuta mume alipoteza maisha na sio kwamba anapoteza kwa muda sahihi, ila anapotezwa.
Yaani wanawake wa kijita wako pamoja na mama zao yaani unakuta mama mmoja ana watoto watano kila mtoto na baba yake na familia zao kitendo cha kumuozesha binti mmoja kwa wanaume watatu tofauti ni jambo la kawaida kwao na hata akiwa ndani ya ndoa hataki kurekebishwa kwa jambo lolote na mumewe.
Yaani akirekebishwa tu ni chap anauza vyombo vyote ndani anaenda kwao na wazazi wanampokea kwa bashasha na ukoo mzima sio makaka wala madada zake.
Kwa kifupi vijana kueni makini sana na wanawake wa kijita, yaani siri zote utazofanya chumbani na mwanamke wa kijita zote anazipeleka kwenye jopo la ndugu zake, kwa kifupi unakuwa ni kama upo uchi mbele yao.
Naomba vijana muwe makini sana na ukishazaa nae tu ndio utakoma wanakatalia mtoto halafu ukoo mzima wanakukomalia uhudumie mtoto na pesa utume kwa mama mkwe na wao ndio wanawake wanaoongoza kwenda kwenye dawati la jinsia
Naomba kuwasilisha, vijana kuweni makini sana, akisema ni mjita kimbia speed 500 usigeuke.
Kama ni kugegeda tu kisha unatembea hakuna shida mkuu; tatizo ni kama utamuoa huyo kirusi wako unayegegeda.Huu uzi umeniamsha kutoka usingizi, nilikuwa kwenye penzi Zito na mjita.
NAKUBALI sana. 👍Una hoja makini; nashauri wanazengo wakusikilize.
Hatari sana bado hapo uko nao cha msingi fanya sana maombi kwa Mwenyezi Mungu kwasababu hao sio watu wazuri.Mm wajita nawajua vizur sana maana nmeishi ujitani mwaka mmoja kabisa, tabia zao
1.ushirikina
2.umalaya ,80% mabinti wanazalia makwao kabla ya kuolewa
3.umbeya, usengenyaji wa hali ya juu
4.hawapendi maendeleo, wakikuona tu unataka kupga hatua wanakupiga kimbola unalala usingiz wa milele.
Cha ajabu nikapiga mimba binti wakijita daaaah, ila nmekataa kumuoa nahudumia mtoto tu,
Ata kugegeda bado ni hatari kwasababu mabinti wa kijita kwa madawa ya kupewa na Mama zao wako vizuri sanaKama ni kugegeda tu kisha unatembea hakuna shida mkuu; tatizo ni kama utamuoa huyo kirusi wako unayegegeda.
umenikumbusha ni kama wasingida hakinyimwiWajita wa kike ni watu wema sana mkielewana.
Endelea wanalia vizuri sana kwenye mapenzi ila aliyosema yote mleta mada ni halisi wajita ni mtihani sana angalau ujanani unaweza mmudu ila nguvu zikipungua kazi utakuwa nayo tena kubwa sana
Mkuu hakuna tofauti, me nimepanga kwa msukuma mmoja hapa mwanza mkewe ni mjita yani huyu dada ni kiburi hatariHadi wajita wasabato wapo hivyo au ni mataifa peke yao?