Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

Yes ndio zao na hapo ukisogea karibu yake ana punguza sauti au anakata kabisa simu ila ukitoka sasa unawekwa mezani wanaunga conference ukoo mzima wana jadili namna ya kukupuna vizuri na kukuendesha
😂😂😂
 
Ni rahasi sana kuitambua tabia ya mwanamke kwa kumwangalia macho na lipsi zake wakati anaongea
Hapa nimekuelewa vizuri sana kuna binti mmoja wa kimasai hivi na wamasai tuwaache waoane wenyewe na wahadzabe je tuwaache waoane wenyewe? Nasikia hawa hua wanajenga boma alafu wanaarika mume wakimuona namna gani wanamtimua wanaingiza mwingine kwa boma Ila Wajaluo ni funiko na Wapare ni ving'ang'anizi hata akufume red handed hakuachii (hapa ushahidi ninao)
 
Hata sikuelewagi ni kama vile una kisa na mimi, mara nyingi nakupuuzia lakini acha leo nikujibu
Wewe ndo una akili za kushikiwa kwa kudhani watu humu tupo serious sanaaaa na maisha vingine tunachangamsha genge.
Endelea kubaki na Ujinga wako.
Mbwaimbwai Bibi katema Bungo
 
Hisia tu Kama vile unamchukia mtu kisa ana hela kukuzidi. Fanya research ya wajita wote utoe data statistically na sio uongee uaminike eti jua ndilo linalozunguka dunia.
Tupe wastani, tofauti,variance, standard variation , maximum and minimum.
Tupe mean sample and population mean
Hapa ni mtu kaangukiwa na kitu kizito basi akaona amwage nyongo. Waswahili walisema ukiumwa na nyoka, hata ukiona ujani unashtuka.
 
Back
Top Bottom