Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

Uchaguzi 2020 Vijana bado wana imani na Magufuli

Wewe mwenyewe tayari ni mjinga kwani hujui kuwa kwa wazungu alienda baada nyinyi kumpiga risasi bili upumbavu wenu Lisu mda huu angekuwa anagombea kutetea ubunge wake, mbunge hafanyi maendeleo kwani kazini ya mbuge ni kufikisha kero Bungeni na Lisu alizifikisha zote vyema, kazi ya kutekeleza maendeleo ni ya meya halimashauri kwa kushirikiana na baraza la madiwani na huko ndipo CCM huwahujumu wabunge wa upinzani kisha kuja na kauli za kipumbavu kuwa hawajaleta maendeleo wakati wanahujumiwa na ccm kwa makusudi
It is very difficulty to teach a rubbish mind like that of you, Ingekuw siyo kazi ya Mbunge kuleta maendeleo jimboni kwann pesa za mfuko wa jimbo wapewe wao sijui milion 200 had 400 wanaziweka tu mifukon mwao wananch wanaendelea na xhida zao za kijamii kila kukicha
 
Kwani TAL mmempa dola akashindwa kuyafanya hayo? Kwa hii mitano tumpatie halafu tufanye hesabu 2025! Hatutajuta na itakuwa mwanzo wa Tanzania ya Watanganyika na sio WADANGANYIKA!
Lisu akiingia ikulu Tanzania itakuwa Nchi bora imara nzuri kuliko South Africa
 
Kiukweli JPM angekuwa kiongozi mahiri shida kubwa ccm imechangia mfumo dhaifu kwa checks and balance kumsaidia control madhaifu yake binafsi, Katiba bora!
Ata kikwete kipinda utawala wake alionekana kushindwa kabisa lakini leo mnamkumbuka ata kwa magu naye itakuwa the same
 
It is very difficulty to teach a rubbish mind like that of you, Ingekuw siyo kazi ya Mbunge kuleta maendeleo jimboni kwann pesa za mfuko wa jimbo wapewe wao sijui milion 200 had 400 wanaziweka tu mifukon mwao wananch wanaendelea na xhida zao za kijamii kila kukicha
Pesa za jimbo ni pesa ndogo kuliko pesa inayopita kwa wakurugezi wa ccm na mameya wa ccm wewe mwenyewe hapo ulipo huna unachokijua zaidi ya kuishi kwa kuabudu chato mpaka kujitoa fahamu zote inaelekea hata hujui kuwa kuna majimbo ya CCM yana umasikini wa kutupwa hayana maendeleo kiliko majimbo ya wapinzani mnayoshinda mkiyahujumu kuchukua pesa kwenda kujenga chato
 
changamoto ni kuwa chama anachokinadi hakija onesha taswira njema katika maeneo ya utawala bora, matumizi ya fedha na nidhamu au heshma kwa utu.They dont deserve a single trial
Pesa za ccm hutumika kudidimiza demokrasia badala ya maendeleo ni bora upinzani uingie ulete maendeleo kwani hayo maendeleo kiduchu ya ccm ni wizi mtupu ufisadi mtupu
 
Pesa za ccm hutumika kudidimiza demokrasia badala ya maendeleo ni bora upinzani uingie ulete maendeleo kwani hayo maendeleo kiduchu ya ccm ni wizi mtupu ufisadi mtupu
Onesha mfano wa demokrasia iliyotekelezwa na wapinzani. Onesha mfano wa maendeleo yaliyofanywa na vyama vya upinzani katika vyama vyao
 
It is very difficulty to teach a rubbish mind like that of you, Ingekuw siyo kazi ya Mbunge kuleta maendeleo jimboni kwann pesa za mfuko wa jimbo wapewe wao sijui milion 200 had 400 wanaziweka tu mifukon mwao wananch wanaendelea na xhida zao za kijamii kila kukicha
Hizo pesa mbunge hawezi kuzitoa hata alie na kusaga meno! kama mkurugenzi na mweka hazina wa halmashauri hawajaridhia!! wao ndio wanaweza kutoa wakitaka au kwa maelekezo toka juu!! Je hili unalielewa?
 
Siyo kweli.
Kafanye utafiti tena vizuri kuhusu pesa za jimbo na namna vinavyotumika pia na namna zinavyokaguliwa.

Hii ya pesa ya jimbo ililetwa na Rais JPM katika kuchafua wabunge wa Upinzani. Hizi pesa zinakwenda kwenye baraza la madiwani na kupangiwa shughuli na sio kama mbunge anapewa akatanua na vimada.
 
Pesa za jimbo ni pesa ndogo kuliko pesa inayopita kwa wakurugezi wa ccm na mameya wa ccm wewe mwenyewe hapo ulipo huna unachokijua zaidi ya kuishi kwa kuabudu chato mpaka kujitoa fahamu zote inaelekea hata hujui kuwa kuna majimbo ya CCM yana umasikini wa kutupwa hayana maendeleo kiliko majimbo ya wapinzani mnayoshinda mkiyahujumu kuchukua pesa kwenda kujenga chato
Inaonekana kwenye kichwa chako mindset yako ina chuki ya ukabila ndo maan unasem mnachukua hela mnaenda kujenga chato as if naijua chato hata ilipo 🙂🙂
 
Vijana wasiojielewa wa Uvccm kama wewe bila shaka ndiyo uliomaanisha! Ila siyo wale wahitimu wa vyuo waliokosa ajira na wakati huo huo wakiendelea kulimbikiziwa riba kandamizi ya 6% kila mwaka na Bodi ya Mikopo.
Inzi wa kijani tu
JamiiForums950724688.jpg
 
Mgombea gani kila aendako hadi wasanii wamwitie watu....khaaa!!
 
Kuanzia chato hakuna kijana wala mzee anayeitaka ccm na magufuli.....

Endeleeeni kujidanganya nyie misukule ya lumumba
 
Hivi ndivyo mmekuwa brainwashed toka huku mkuwaacha viongozi wakifaidi ruzuku, endelea na level hiyohiyo ya kutoelewa
Ruzuku ya ccm hutumika kudidimiza demokrasia kuwahujumu chadema na ruzuku ya chadema hutumika kujihami dhidi ya hujuma na udhalimu wa ccm
 
Magufuli amefanya mengi kabla ya 2015:
Alisimamia vyema TANROADS ikaleta mapinduzi katika ujenzi na usimamizi wa barabara.
Alianzisha na kusimia vyema magari ya miradi ikiwemo kuanzisha namaba za magari ya DFP, Polisi na magari mengine ya Serikali,
Alisimamia kwa vitendo rasilimali za uvuvi na mifugo.
Alileta mageuzi makubwa kwenye sekta ya ardhi---- migogoro ya ardhi..

Kwa sasa Tundu anapimwa kwa lipi?

umekiri udhaifu wa chama chake, hongera kwa hilo.

CHAGUA MAGU, CHAGUA CCM
Tundu apimwe vipi kwani yupo ikulu? Acha kuja na mifano ya kishamba, nyinyi mmekaa ikulu miaka mitano tumewapima ni ufisadi mkubwa kuwatesa watu manyanyaso matupu kila mradi kuna wizi gharama kubwa miradi michache ina gharama kubwa utazani wanajenga bara zima la Africa
 
Onesha mfano wa demokrasia iliyotekelezwa na wapinzani. Onesha mfano wa maendeleo yaliyofanywa na vyama vya upinzani katika vyama vyao
Kwani wapinzani ndiyo wanaishikilia Hazina BOT wanakuonyesha maendeleo kupitia ukosoaji wao ,kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali na upinzani ukiingia ikulu unarekebisha mapungufu yote ya ccm na ukiwa na mapungufu ccm watawakosoa kipindi hicho wakiwa ni wapinzani
 
Mnajirekodi vijana Wa Lumumba mnaanza kujikomentia wenyewe AIBU
ccm wanatapatapa sasa mara warushe mawe chato mara Polisi watumwe na ccm kumpiga mgombea wa ubunge serengeti mara wazuie kivuko kwenda ukerewe mara wanapanga uovu mwingi ni Aibu hawataki kufanya kampeni wanawaza kuwahujumu chadema saa 25
 
Back
Top Bottom