Vijana fanyeni siasa za haki ili tawala zinapobadilika muendelee kuaminika

Vijana fanyeni siasa za haki ili tawala zinapobadilika muendelee kuaminika

Wiki ya moto kweli kweli.

Tuombeane mema na kusameheana inapobidi
Bashite analoga mama apate URAIS anadhani itakuwa ndio njia yake ya kurudi ulingoni!!! Haitatokea, mwambieni mama asijefanya makosa hayo atajiharibia!!! Amuache awe anakuja nyumbani kunywa chai basi!!
 
Mtoto wa dada aponyokwe passport asikimbie atueleze pesa zetu ziko wapi?
 
Isee mwaka huu minyuzi itajaa humu kibao..

Kila mtu atakuwa mhariri

Wengine watakuwa Majasusi

Wengine wanajidai wana source zao..kutoka kwenye vitengo/wizara/katibu tawala

Kiufupi much know zitajaa sana.
Hat waongo watakuwa wengi sana
Lakini ole wao wale waliopewa dhamana kisha ikawa wanatuongpea ili kuna ukweli umejificha na wao wanaujua.
Kamwe hatutawaamini tena.
Waliozoea ungo ukweli kwaosumu
Waliozoea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi.
Waliozowea Kulidanganya taifa, kwa kisigizio cha Maslahi ya Taifa, wataziweka wapi nyuso zao kweli ikidhihiri?
Time will tell
Waktati ni Hakimu.
Kila Nafisi Itayaonja Mauti,
Kuumwa, na Kufa ni katika ada za kibina damu tangu enzi na enzi.
 
Back
Top Bottom