Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #61
ndio hivyo tena !Haya bwana
ndio hivyo tena !Haya bwana
Uliandika uzi huu kufuatia tetesi au roho tu ilikusukuma kuandika haya ?Kabla sijaufunga uzi huu mwenye maswali aniulize
Hapana , ni ujumbe tu kwa watu wote wenye kuonya tu na kukumbushana , haukulenga tukio lolote , na naamini ni ujumbe utakaodumu muda mrefu .Uliandika uzi huu kufuatia tetesi au roho tu ilikusukuma kuandika haya ?
Hii busara ni ya msingi sana...Si mbaya kum support kiongozi, lakini tusifanye kwa expenses za wengine wala usiwakanyage mabega wenzako ili wewe uweze kuonekana...Kuna shida kwenye makuzi yetu...Unaona haya mambo hadi kwenye institutions za imani ambazo pengine zingesaidia kujenga haki na usawa lakini wanakuwa aggressive kwa maslahi yao kama yataathiriwa na persive pale wanapopewa faida upendeleo wasiyotakiwa kupewa...What kind of society are we building?Huu ndio ujumbe wangu wa Jumapili kwa vijana wa Tanzania waliopewa nafasi za kuwa viongozi, Tafadhalini sana, tafadhalini jamani, madaraka ni dhamana ya muda mfupi mno, jitahidini kutenda haki kwa mujibu wa Katiba ya nchi, mkifanya hivyo hata mwisho wa madaraka yenu hamtaishi kwa mashaka na wala visasi havitakuja upande wenu.
Maandiko matakatifu yanasema hivi, nanukuu "AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU, AMFANYAYE MWANADAMU KUWA KINGA YAKE NA MOYONI MWAKE AMEMWACHA BWANA" YEREMIA 17:5.
Hapa Mwenyezi Mungu anatuasa kwamba tukitenda kiburi kwa vile wako wanadamu wenye madaraka zaidi wanatulinda tutakuwa tunakosea sana, maana siku za mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke hapa duniani si nyingi sana, siku watakapoondoka duniani baada ya kutwaliwa tutachanganyikiwa.
Nakutakieni Jumapili njema na Kwaresma yenye baraka
Lazima tujifunze kuwa na maadili hasa ukiwa kiongozi...Hata kama you feel you are protected...Lakini pia viongozi wajifunze kutowatumia subordinates wao hata kama wanawa please vipi....Huyo huyo subordinate unayemlinda leo kesho ukikosa uongozi anakuwa wakwanza kuku betray...We are all safe if we are protected by institutions i.e rules and regulations not by individuals. Individuals pass but institutions have long life!
Tumeonya sana tukapuuzwaLazima tujifunze kuwa na maadili hasa ukiwa kiongozi...Hata kama you feel you are protected...Lakini pia viongozi wajifunze kutowatumia subordinates wao hata kama wanawa please vipi....Huyo huyo subordinate unayemlinda leo kesho ukikosa uongozi anakuwa wakwanza kuku betray...We are all safe if we are protected by institutions i.e rules and regulations not by individuals. Individuals pass but institutions have long life!
Kwakuwa akili zao zinahamia tumboni acha waendelee kukiona cha moto.Tuendelee kukumbushana jamani
Noma kweli !Kwakuwa akili zao zinahamia tumboni acha waendelee kukiona cha moto.
Mafundisho huanza taratibu halafu mafunzo huja taratibu , sijui kama tunaelewanaUpo sahihi lkn kwa nini usiende kwenye point moja kwa moja kutokana na ili lililopo nchini kwa sasa...??
Noma sana !Kuna kijana analikuwa na kimdomo kirefuuuu enzi za Mwenda.. sasa hvi analima vitunguu kujipa moyo wakati anapima upepo wa kisiasa. Na yule naye mmiliki wa kipeperushi kilichotukana viongozi wastaafu na yeye anaishi kama digidigi msituni - teh teh teh
maisha haya bana, vijana jifunzeni kuwa kesho huwa ipo, usimalize kete (turufu) zako zote, utaumia.