Vijana, Figo zinaua, jilindeni na haya Mapombe…Ushauri tu!

Unavyoogopa kifo hadi umeandika vizuri leo.
 
Anyway kuna wengine wanapatwa na furaha anacheka anakata mazima, wengine wanaoga bafuni wanakata mazima.
Tuishi tu kwa kiasia
 
Sema kuna saa ukiwaza sanaa...

Hivi mtu ukisema uishi maisha kwa kuogopa kufanya vitu vyote ambavyo vinaweza kukusababishia kifo, utaishi maisha ya aina gani?

Manake nimegundua karibu kila kitu hapa duniani kinatafuta upenyo kituue..!

Utafika mahali hata gari utaogopa kupanda, yani hata kutoka nje ya nyumba yako utaogopa.

Mi naona tuishi tu bana kifo kipo tu ni unkwepekable. 🙁
 
Kwa sasa pombe salama ni bia tu
 
Pale unapokuwa ukitetea uhai kitandani, yale maumivu hayaelezeki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…