Vijana, Figo zinaua, jilindeni na haya Mapombe…Ushauri tu!

Tiba ni kuacha kabisa kunywa pombe,hakuna kunywa kwa furaha,wala kistaarabu,maneno hayo ni ya kujidanganya tu.
 
MKIACHA POMBE MSIRUI KWENYE UZINZI HUKU N HATAREE ZAIDIIII

BORA POMBE HAZIITAJI CONDOM HUKU UNAKUFA NA AKILI ZAKO BILA POMBE

ONYOOOO
 
Leo umeandika vzr,
Siku ukinywa ponbe huwa unaandika vtu havieleweki!
 
Mi ninachojua hakuna atakayebakia...tuishi tutakavyo ilimradi hatuumizi wengine
Ukiattend dialysis unaumiza wengine tena direct. Anayekupeleka hospital anaacha shughuli zake, Kodi za watanzania, unajaza vitanda hospital mpaka watoa huduma hawatoshi. Pia NHIF inachechemea kwa kulipia wagonjwa wengi. Chukulia mfano una kampuni ya bima ya magari halafu magari 100 yanayopewa usajili wa bima 60 yanapata ajali. Bima inakufa
 
Inasikitisha sana.
Sana mkuu.

Mi nafikiri cha maana ni ku take reasonable care pale inapowezekana. Pombe sio lazima kunywa, lakini kunywa au kutokunywa hakumaanishi ndio utaishi milele/miaka mingi.

Mimi katika familia/ukoo wetu tumeshazika watu wengi sana kwa ulevi. Lakini pia tumeshazika wengi kwa ajali, uzee, magonjwa mengine, hadi watoto wachanga hua wanakufa. Na hii nadhani ni kila mahali iko hivyo. Mi nadhani siku yako ikifika imefika uwe unakunywa, hunywi, unafanya mazoezi, hufanyi..
 
Unataka kusema wanaoumwa figo wote ni wanywa pombe?
Watu hawaisemi soda kwamba ni mbaya wamekazana na pombe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…