Vijana, Figo zinaua, jilindeni na haya Mapombe…Ushauri tu!

Afadhali ameepukana na uchaguzi kama chadema.
 
Nani yako?
 
Mbaya zaidi hawashauriki
 
mimi nimezika Leo njombe dogo alikuwa anapiga sana pombe Kali aka visungura dogo maini yaliharibikA sana.
 
mimi nimezika Leo njombe dogo alikuwa anapiga sana pombe Kali aka visungura dogo maini yaliharibikA sana.
Kama.mwamba Sema shida moja yeye ana uwezo ila akikaa na kampani ya wine atakunywa wine akikaa na wa vizungura hata awe na million atakunywa vizsungura

Tunabaki kushangaa huu mtambo wakutest vinjmywaji ama.lah
 
Mkuu figoo ikianza yake yanayofwatia na hayoo

Sukari

Pressure nk

N Mungu tu atusaidie
Hapana mkuu, ukiwa na hizo Pressure na ndugu zake, ndiyo huwa zinaenda kuathiri organs mbalimbali za mwili kama Ubongo, Figo, Ini, Macho, Moyo nk.

Pressure ikipiga Ubongo unapata Stroke

Pressure ikipiga Figo unapata CKD ambayo sasa inakubidi uwe unafanyiwa Dialysis.

Nk nk nk.
 
Kama.mwamba Sema shida moja yeye ana uwezo ila akikaa na kampani ya wine atakunywa wine akikaa na wa vizungura hata awe na million atakunywa vizsungura

Tunabaki kushangaa huu mtambo wakutest vinjmywaji ama.lah
aisee hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…