Uchaguzi 2020 Vijana hawana cha kupoteza kwa Dkt. John Pombe Magufuli

Sijajua unazungumzia kijana wa CCM au kijana wa Tanzania! CCM kwao akina Makamba Jr, Mwigulu na Nape ni vijana lakini kwa Tanzania Vijana mwisho ni miaka 35.

Achilia mbali hayo, hiyo 4% imepunguzwa kutoka 5% na ni utaratibu toka zamani umewekwa na Serikali na sio hii unayoiita ya Magufuli. Sasa hiv vijana hawapati mikopo mpaka wawe na Vitambulisho vya Ujasiriamali na hata wakiomba let say, Milioni 2 basi watazungushwa mpaka mbio za Mwenge ndio watapewa na wala haizidi milioni kati ya Milioni mbili walizoomba.

Mimi ni Kijana tena mzalendo, lakini niwe mkweli tu, kura yangu siwezi kumpa mtu mbaguzi/mgombea mbaguzi!
 

Ndio umejiunga mwezi uliopita ili kuja kutapika hapa jukwaani?
 
Hatutaki dikteta yoyote nchi hii.
 
Yani mimi kama kijana naisubiri sana hiyo tarehe 28 october tukawaonyeshe watanzania jinsi magufuli tunavyompenda vijana ...Yani kura zote kwa Dk John Magufuli....huyu mzee jamani katufanyia maendeleo mengi anaebisha kuna nati za kichwa zimechomoka

Umejiunga hapa jukwaani mwezi uliopita ili kuja kupambana, mbona mmekuja na mbinu za kizamani sana?
 
Kijana Mimi nilikuwa nimelala usingizi,nikapitwa na guess zote hizo,hivo Nina Jambo langu kesho kutwa Oct.28.
 
Ni kweli hawana cha kupoteza kwa sababu wameshapoteza vyote ndani ya miaka mitano
 
Id hii ni ya mwezi huu wa kumi, nayo iko huku jukwaani kwa ajili ya uchaguzi. Hii ni moja ya id zilizoanzishwa na ccm kwa ajili ya uchaguzi huu.
Utakuwa mgeni sana - tafuta zingine Msakila Kabende, Mkafrend utagundua kwamba kabla hujamaliza sekondari nilikuwa humu

Aidha, wote hatutakuwa na fikra zinazofanana kwenye issue kama za uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…