Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

Mkuu hoja dhaifu...kwasababu watu wanafeli wote Tuache kusoma...Ndoa nyingi Ni nzuri...mbaya Ni chache.

Hujawai kuona mfano wa ndoa nzuri...Wewe TU hutaki kuoa...
 
Bora kuishi ki bachelor kama Bwana wetu Yesu Kristu kuliko kuolea kijiji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa vijana wa jiji la kunenge wanasumbuliwa na baridi mkuu, hapo kwenye mwanaume halisi😂😂
 
Woga wako tu,mimi mafanikio nimepata baada ya kuoa

Mkuu tukiinua tu mguu kwenda kujenga taifa unapishana na vijana wamevaa nguo za dada zao wanaelekea mtaani kwetu kuwazengea binti zetu ama wake zetu,wanakera sana

Hahahaha kaka basi waambie waoe wanawake wanaowaonea huruma...


Maanake ukioa mwanamke hana huruma na wewe ndo upo job unatesekea familia yeye yupo busy na wabana suruali...

Vijana wakula sana wake zetu kiasi kwamba wanaogopa wakioa na wake zao wataliwa...
 
Mkuu waache wajipange wakioa bila kitu mfukoni wataona ndoa chungu.
Mkuu wakikaa sana wanaishia kuwajaza mimba wenzao kisha hawaudumii,au wanaishia kunyang'anyana vipodozi na nguo za kubana na dada zao,.
INAFIKIA HATUA KHADIJA NA RICHARD wamefuatana wakiwa umbali wa mita 50 kutoka ulipo huwezi watofautisha mpaka wafike mita 5 ndio utajua kumbe kuna Khadija na Richard.kabla ya hapo wote walionekana kama Khadija na Jesca
Hapana,WAOE TU.
 
😆😆 Sawa sawa
 
Vijana wa siku hizi tuna jifanya wajuaji,lkn ule utaratibu wa wazee wetu kumtafutia mke kijana wao ulikuwa mzuri sana,wazee wetu walikuwa wanajua kuchagua mwanamke aliye kamilika hasa kitabia,wanachunguza mpaka tabia za huo ukoo kama hazifai wanaenda kwa mwengine.

Ila siku hizi ni fujo mtindo mmoja ni mwendo wakulamba galasa tumesha jizoesha wenyewe tunakutana ,tunatongozana baadae inapiga mechi unakaa kidogo unagundua mwenzio kumbe kichomi.

Yaani Magalasa yapo mengi sometimes basi upate hata mzungu wa pili ,huku unajipa moyo nita mtengeza ili awe jike kamili wapi wendo wa magalasa.
 
Mkuu hawa vijana wanaogopa bure tu,wakioa ndio watakuwa wanaume halisi manake sasa hivi wana jinsia tu ya kiume ambayo hata beberu,fahali wanazo
Wakioa tu watakumbana na nginjanginja ambazo zitawakomaza na kuwafanya wafudhu na kuingia kiumeni,hapo ndipo atafaidi mema ya ulimwengu huu
 
wanakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…