mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,106
- 3,158
- Thread starter
-
- #61
Tatizo vijana siku wengi kama huna PHD basi 'masters'mtanirekebisha kwenye spelling.Ukiwa mburula basi una degree.sasa mjue kwamba ukiwa mwanaume ni zaidi ya hayoVijana wa siku hizi tuna jifanya wajuaji,lkn ule utaratibu wa wazee wetu kumtafutia mke kijana wao ulikuwa mzuri sana,wazee wetu walikuwa wanajua kuchagua mwanamke aliye kamilika hasa kitabia,wanachunguza mpaka tabia za huo ukoo kama hazifai wanaenda kwa mwengine.
Ila siku hizi ni fujo mtindo mmoja ni mwendo wakulamba galasa tumesha jizoesha wenyewe tunakutana ,tunatongozana baadae inapiga mechi unakaa kidogo unagundua mwenzio kumbe kichomi.
Yaani Magalasa yapo mengi sometimes basi upate hata mzungu wa pili ,huku unajipa moyo nita mtengeza ili awe jike kamili wapi wendo wa magalasa.
Nawasubiri kwa hamu kweli,niwape ujasiri wakitoka hapa wakaoe,sio kusumbua wake zetu,binti zetu majumbaniwanakuja
Sasa ..Kama hamuoi..wanawake watafanyaje..Ndo muoe Sasa
Ukiona hupati utulivu kwenye ndoa jitathimini uanaume wakoNani aliyekuambia ukioa unapata utulivu? Jitahidi kupunguza ukali maneno
Zaidi ya hayo,YAPI....?Tatizo vijana siku wengi kama huna PHD basi 'masters'mtanirekebisha kwenye spelling.Ukiwa mburula basi una degree.sasa mjue kwamba ukiwa mwanaume ni zaidi ya hayo
Aliyeimba wimbo huo alifakamia makahaba huko yakamtenda,yale ni maneno ya hasira na kukata tamaa,OA tu mkuuNitaoa tu. Bado nipo nipo kwanza
Namaanisha uanaume ni zaidi ya PHD,MASTERS au degreeZaidi ya hayo,YAPI....
Nani kasema mnakosea Sana aiseNa Mimi..nashangaa mtu anakuja na bandiko eti vijana wachelewe kuoa..Yaaani unachosubiria Nini...unakipato Cha kawaida..kwanini usioe..
Mwanaume kamili Ni yule.mwenye mke
Ndio maana ili uwe mwanaume halisi,vinginevyo we utahesabika kama una jinsia ya kiume tu na utakuwa kijana tu kama akina OMARY.HANS NA HATA ROZI AU AMINA
Nimetumia neno kujua sija maanisha level ya elimu...... Bali nimemaanisha kuwaona wazee wetu hawana kumbe kwa kiasi kikubwa walikuwa sahihi ktk Kyra tafutia wenza vijana wao.Namaanisha uanaume ni zaidi ya PHD,MASTERS au degree
Mkuu we umeolewa au na wewe ni fenesi la kalePole...mkuu Kama umekasirika, umeuliza umejibiwa.
Mkuu nimeoa nikiwa na 27 wife 22Baada ya kuoa eeh, we ulipata mke mzee!
Mkuu nilikuelewa vizuri kwenye post yako na upo sahihi..Nimetumia neno kujua sija maanisha level ya elimu...... Bali nimemaanisha kuwaona wazee wetu hawana kumbe kwa kiasi kikubwa walikuwa sahihi ktk Kyra tafutia wenza vijana wao.
Ukiwa mwanaume halisi huwezi waza hayo kutokana na raha tupatazo na ikitokea unaweza himilimkuu utakuwa umechapiwa make na kabodaboda
Kweli mkuu,ingawa kuna kipindi dunia iliishi kwa 'opinion'Jua kutofautisha kati ya "fact" na "oppinion".
Kweli mkuu,ingawa kuna kipindi dunia iliishi kwa 'opinion'Jua kutofautisha kati ya "fact" na "oppinion".
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]..Fenesi la kale likoje..Hilo [emoji38][emoji38][emoji38]...ndo nalisikia leoMkuu we umeolewa au na wewe ni fenesi la kale
Dah!..hongera sana aisee, wapo tunaotamani hivyo ila sasa...Mkuu nimeoa nikiwa na 27 wife 22