Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,713
- 9,321
Mkuu wangu kazaliwa 1984,bado mbichi na nimemsomesha(kitu ambacho hamtaki kukisikia),
Mkuu wababe wengi waliowika dunia hii walioa/wameoaKukariri mambo kwa hii dunia tunayoishi sasa ni kujifelisha vibaya mno! Ufanye jambo kisa baba au mama alifanya utajikuta unaangukia pua...
Kwa akili yangu fupi uwezi kunambia ili niwe mwanaume niliye kamilika lazima niwe nimeoa...
Nilimsikiliza Mh SAMIA SULUHU akihutubia siku ya wanawake pale Nachingwea,amekiri kabisa akiwa nje ya kwake yeye ni makamu akirudi nyumbani yeye ni mke wa(alimtaja mumewe kwa jina) na anamtimizia majukumu yote ikiwemo kumpikia na si kuwapa wafanyakazi wampikiaTena huko ulikoongea ndio kabisa. Mkeo awe waziri au mbunge uwe tu tayari kumuacha,mwanamke kwamba wewe utamlazimisha afuate sheria zako hapo tayari ameshakuwa waziri?. Vinginevyo atafuata kabla hajafikia hiyo ngazi.
Ndo unioe Sasa...Sasa mimi ntaolewaje bila.mwanaume.Wewe mbona haujaolewa ?
Mkuu unadhani aliyetuumba alikuwa mjinga?.Kwa nini aliumba ke na me? hakuishia hapo akatupa akili na utashi lakini wanyama kawapa akili tu? Au kwanini ameweka umri wa kupevukaKabisa! Na ukioa ili kuonyesha wewe ni mwanaune mbele ya umma, jua uko na shida pahala..
Mtume Paulo alishauri watu kukaa Kama yeye endapo wataweza(yaani wasiwake tamaa)1. Je mapadri sio wanaume halisi?
2. Sisi kama wakristo tuna fwata mafunzo ya Yesu na mitume wengine kama mtume Paulo.
Lakini kiuhalisia ni kwamba hawakuoa je nao unawasemeaje?
NB: Naomba unijibu maswali yote.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Na hawa wasiotaka kuoa wapo wengi,wanarukaruka tu mitaani,na ukae ukijua unamshepu mwanzoni tu mwa mahusianoUnapompata mwanamke mwema kwako usifikiri wote wako hivyo. Kwanini unawapigia chapuo sana hawa wanawake?
Wanawake wapo wengi sana kwahiyo hawawezi kuolewa wote.
Na hawa wasiotaka kuoa wapo wengi,wanarukaruka tu mitaani,na ukae ukijua unamshepu mwanzoni tu mwa mahusiano
ππππ daah!Hapa nawaongelea hawa vijana wenye majina ya kiume kama John,Rashid nk.
Kumekuwa na kundi kubwa la vijana tena linaongezeka siku hadi siku ambalo halitaki kuoa.Ukiwauliza watakuambia bado wanajipanga,sijui wanatafuta pesa,mara ooh mabinti wa siku hizi sio kabisa na majibu mengine kemkem
Lakini haohao ndio utasikia wanazengea shemeji zao(wake zetu tuliooa)kama sio mama zao.Mtu akija humu na uzi kala jimama/mke wa mtu basi ujue tayari washatuibia wake zetu,
Na ndio hawa hawa wanaharibu binti zetu kisha kuwaita 'single mother'
Kujihalishia ujinga wao wamejipa jina baharia,
Kutokana na ujinga wa kutotaka kuoa ndio maana
~mnajikuta mnavaa suruali za dada zenu.
-mnajichubua
-vyumbani kwenu kuna dressing table zilizotapakaa poda lotion,injofesi na mazagazaga ya dada zenu
-mnavua nguo zote mnapopaka mafuta na mnapaka mwili mzima ulisikia wapi
-meseji zenu kwenye simu ni kama hao dada zenu zimejaa 'x' na 'c'
-mnasababisha vijana wa jinsia tofauti waongezeke kujiuza au kututaka sisi kaka zenu ili watuvunjie ndoa zetu
-nyinyi wenye kuwa mashoga au kuolewa mimama iliyoshindikana na kupelekea kupewa nuksi au maradhi
OMBI:Kuepukana na hayo muoe kwani ili uwe mwanaume halisi ni lazima uoe,na utakuwa bora zaidi huyo utakayemuoa uzeeke naye pamoja na shurba zote atakazokupa
-Oa ili utengeneze msingi bora wa familia na taifa
-Usimsikilize yeyete atakayekuambia ndoa ngumu sijui nini,huyo hataki wewe uje ufaidi tunayofaidi sisi huku
JIULIZE:Kwa nini baadhi ya vyeo ni mpaka uwe umeoa? ukipata jibu na ndio lengo la uzi wangu
Wanarukaruka tu lakini ukweli wanaujua,na wanakumbana na mikutuo kwelikweliMtume Paulo alishauri watu kukaa Kama yeye endapo wataweza(yaani wasiwake tamaa)
Vijana wa siku hizi wanajidai kumtumia mtume Paulo Kama mfano ilhali wamejaa uzinifu na umalaya tu..wanafungua zipu hovyo tu halafu wanasema kuoa siyo lazima.
Siyo lazima Kama utaweza kukaa mbali na dhambi ya uzinzi.
The key word is ...."kuzikabili changamoto na kuzishinda" ,tunasolve matatizo mengi kila siku kama vile uchumi etc etc ila sio kutafuta matatizo eti tunazikabili changamoto utakua huna tofauti na anaye baka/kaba/ua kwa huku akijua anaitafuta jela kwa kisingizio eti atapambana na matatizo ya jelaKumbuka mwanaume ndio kiongozi wa ulimwengu huu,moja ya sifa ya mwanaume ni kuzikabili changamoto na kuzishinda
Mkuu vuta mke oa sio kuwaogopa hawa wameletwa kwa ajili yetu tusaidiane kuujenga ulimwengu
Mbona sijaona wakina newton na genge lake kwenye hiyo list yako?!Mkuu wababe wengi waliowika dunia hii walioa/wameoa
HITLEH,NAPOLEON,ALEXANDER,PUTIN,TRUMP,DUTERTE,JINPING,MAGUFULI,LISU,MBOWE,NYERERE,MUGABE,KIKWETE,MZEE MWINYI,MKAPA.GADAFI,NETANYAHU hata yule mtukutu wa korea kaskazini kaoa.
Hapo sijawataja akina mswati ,mfalme DAUDI, SULEIMAN,NEBKADNEZER
Hapana oeni tu hamna visingizio
Kuongea ni tofauti na kutendaNilimsikiliza Mh SAMIA SULUHU akihutubia siku ya wanawake pale Nachingwea,amekiri kabisa akiwa nje ya kwake yeye ni makamu akirudi nyumbani yeye ni mke wa(alimtaja mumewe kwa jina) na anamtimizia majukumu yote ikiwemo kumpikia na si kuwapa wafanyakazi wampikia
SAMIA amejua mumewe ni nani katika nyumba
Vijana wa siku hizi wanajidai kumtumia mtume Paulo Kama mfano ilhali wamejaa uzinifu na umalaya tu..wanafungua zipu hovyo tu halafu wanasema kuoa siyo lazima
Kuna siku utajutia wazo lako hili,na utaona umuhimu wao!Kama hawataki kuoa ushajiuliza kwanini? Mwenyewe bado sijaoa na sifikirii kuoa, nafikiria nitafute mwanamke nizalishe nilee watoto wangu tu.
Waoe tu,ππππ daah!
Ukipima faida na hasara baada ya kufungua zipu utakuta hasara ni nzito kuliko faida,yani umejikomoa,Sasa kama papuchi za kufungulia zipu zimejaa mtaani kwanini usizinyandue vya kutosha
Hakuna cha kujipanga mkuu,vuta weka ndani utaona milango ya fahamu itakavyofungukaNgoja najipanga kwanza bro..
Nikifikisha milioni tatu naoa.
Huyo ni mmoja. Na hao wanawake wa mwambao kama Samia mtu wa visiwani hao wana heshima kubwa kwa waume zao. Sasa awe binti umri kama mbunge wa chedema anagombania na mwiguru,wa bara. Jiulize yule akipita. Yupo mbunge mmoja alikuwa segerea,baada ya kuukwaa ubunge,sikilizia dharau kwa mumewe,sina hakika kama bado wanadumuNilimsikiliza Mh SAMIA SULUHU akihutubia siku ya wanawake pale Nachingwea,amekiri kabisa akiwa nje ya kwake yeye ni makamu akirudi nyumbani yeye ni mke wa(alimtaja mumewe kwa jina) na anamtimizia majukumu yote ikiwemo kumpikia na si kuwapa wafanyakazi wampikia
SAMIA amejua mumewe ni nani katika nyumba
Kipi ambacho wewe unafaidi sisi hatufaidiUkipima faida na hasara baada ya kufungua zipu utakuta hasara ni nzito kuliko faida,yani umejikomoa,
OA tu mkuu tuje tufaidi