Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

Kwahiyo maisha yako hayajulikani ila ya wengine wewe ni fundi wa kuyajua?

Hebu nenda kalale utunze hiyo mimba isiyokuwa na ukomo wa gestation period.
Wewe inashida Sana...kwanza inawezekana Huna hata nguvu zakiume., Unakasirikia vitu vya wazi...kumbe hudindishi.... HANITHI wewe.
 
Wenyewe huwa wana kamsemo kao "Ng'ombe wa nini wakati nina maziwa" au kama wanavyosema wenyewe.

Ila siwafichi miongoni mwa vipimo vya awali kabisa vya mtu kuwa na akili timamu aisee ni KUOA. kisha kuanzia hapo vinafata vipimo vingine vya Akili.
 
Mwanaume halazimishwi kuoa... Ana shauriwa kuoa... Na ushauri Sio lazima uukubali Mkuu...

Sasa huwa sielewi hamtaki kuoa ila mazaa na kila mwanamke..alafu mnakuja kuwatukana masingle mother..

I wonder Akili zenu
Upo sahihi, Kulazimishwa Kuoa au kuolewa sio lazima mpaka uwe umepewa vitisho au Zile ndoa za mikeka, hapana.. Jamii inamchukulia mtu ambae umri umesogea kiasi,Mwenye Maisha ya Kati ama ya kawaida, ambae hajaoa au kuolewa Kama mtu flani hivi ambae huenda ana mapungufu au kuna Jambo halikosawa na kusahau kuwa kiuhalisia hakuna namna moja sahihi ya kuishi hapa Duniani.
Sio lazima Ndoa.. naamini kujizuia inawezekana na Kuna Mambo Mengine mengi mazuri ya kufanya hata zaidi ya Hilo linalohusu ndoa .. Kama ukiwa umepata Hisia za mapenzi juu ya mtu na ukaona Ni vyema ukimuoa ili umuweke karibu sawa!!
Ila Kama hujapata au umeona single ndo mpango then just dont think about it, be it!
Kutaman wake au waume wa watu na Tabia zingine zinazohusiana na Ngono inategemea Kati ya mtu na mtu, hata walioko kwenye ndoa wengine sio waamanifu.. Na sio kila mwanaume anawadharau hao unaowaita SINGLE Mother's, Kila mtu akiishi Kama unavyoona kwake ni sawa mradi haimdhuru mtu mwingine Basi Maamuzi yake yaheshimiwe!!
 
Mkuu...hili halikua la watu wote lilimlenga mtu.mmoja TU.
Nimekupa faida, ila ulitakiwa ubainishe na umdhanie kheri uliyekuwa unajadiliana, maana kumwambia mwanaume kama anapumuliwa kisogoni ni tusi kubwa sana hata kama ni utani, tena huwa tusi kubwa ukiwa huna ushahidi.

Almuhimu nimekuelewa.
 
Sawa mkuuu...I concur
 
Nimekupa faida, ila ulitakiwa ubainishe na umdhanie kheri uliyekuwa unajadiliana, maana kumwambia mwanaume kama anapumuliwa kisogoni ni tusi kubwa sana hata kama ni utani, tena huwa tusi kubwa ukiwa huna ushahidi.

Almuhimj nimekuelewa.
Noted mkuu
 
Unaposema mafundisho ya Yesu na Paulo, ni kwamba wawili hao walifundisha watu wasioe au inakuwaje ?
 
Kuoa mapema utajichelewesha malengo yako kama kijana....otherwise you will end up kuwa frustrated tu,
Siai wengine malengo yetu ni kupata watoto wengi wakiwa na nasaba kamili, ndiyo maana tulioa mapema.

Wangapi hawana wake na hawajafikia malengo ? Hivi mnayafasiri vipi haya maisha ? Na wangapi tumeoa tumeshayafikia malengo yetu ?
 
Unakana Uislamu?
Wanaume wa kiislamu wakienda bustanini watapewa mabikra wenye matako futi 40, sasa nyie mtakua wapi
Oooh....kumbe huo NDO uisilamu.. mkuu Hiyo dini siijui kweli..ndo uisilamu kuna wanawake Wana makalio futi 40. Duuuh Basi nitakazana kuisoma dini Hilo andiko la futi 40 sijakutana nalo
 
Kipi mnachopata nyie na sisi hatupati?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishajibu swali hili,tunafaidi upendo wa dhati kutoka kwa mke na watoto,tunaheshimika katika jamii na kwa kiasi kikubwa sisi ndio tunatoa maamuzi katika jamii kupitia vikao mbalimbali vya mitaa, mashuleni etc
Na kwa kiasi kikubwa sisi ndio wenye maendeleo.Sisi ndio wamiliki wa magari,biashara kubwa,
Sisi ndio wenye vyeo makazi
Lakini sisi ndio mababa wenye nyumba na magesti ambayo tunawapangishieni na ndio mnatumia kujaziana mimba bila mpangilio
HAPANA siwezi kuvumilia OENI TU
 
Siai wengine malengo yetu ni kupata watoto wengi wakiwa na nasaba kamili, ndiyo maana tulioa mapema.

Wangapi hawana wake na hawajafikia malengo ? Hivi mnayafasiri vipi haya maisha ? Na wangapi tumeoa tumeshayafikia malengo yetu ?
Hapo analyse and vice versa kwa maana waliooa bado wana hali mbaya kiuchumi au wameporomoka au wako dormant?!
 
Sijakuelwa.
Mfano wako uko biased upo biased ,so nimekwambia compare makundi mawili kwa wenye same level /potential /cohort....Let's say with the same age+education etc etc na u difine hayo maendeleo ni yapi yaan tutatumia variable gani kupima maendelo,ili tufanye analysis at a time flani let's say 5 years kujua kama kuoa kunachelewesha au kuwahisha maendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…