Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

Yaan emu elezea vizuri unazungumzia Dar IPI Mkuu hii hii Dar ya Alubati C?
 
Rubbish 🚮
 
Aisee
 
😂😂😂😂 Unatumia hisia eeeh.
Au hata jamaa anaetoa maelezo ni wewe mwenyewe, unajiuliza na kujijibu mwenyewe.
Vijana wa kizazi hiki mna mambo sana
Wewe Mimi nakuelewa vizuri 'Vishu Mtata' kuna siku tulijibizana kwenye ID nyingine nikaona isiwe tabu Wewe Jamaa ni Mbishi sana hata kwenye vitu visivyotaka kubisha unabisha haya Mimi nauliza maswali unanibishia kwamba nauliza kitoto sijui nini sasa km ni hivyo kwanini Wewe hauulizi na unataka kujua na nikiuliza nikajibiwa na Wewe unafaidika kwa Jibu nililopewa uzuri wa ninaemuuliza ni muelewa kwa hio anaelewa nauliza nini na nataka kujua nini Ila Wewe Mtata' unabisha hutaki niulize ninavyouliza sasa ndio nini Mkuu?
 
walivyopotea wale vijana watano nikaanza kuona watu wachadema na wanaharkt uchwara wanapga kelele nyingi ndio pale nilipojuq hivi vyama vya upinzani sometimes navyo miyeyusho tu..either hawako well informed au wanafanya t kwa maslahi yao.
.nawafaham wale vijana mmoja baada ya mwngne mpaka walipokua wanaish na shughuli zao zilikua nini.
kama walikufa mwenyez mungu awasamehe madhambi yao na awalaze mahala pema peponi mahome boyz.
 
boss, hapo ofisin kwako unahitaji kijana wa kukusaidia kuuza duka? kama unahitaji nko hapa kijana mchapakazi&mwaminifu.
 
Sasa hapo hujaelewa nini? Hakuna maisha rahisi ya kupata pesa kwa mwaka mmoja, watu wanajenga nyumba baada ya miaka 40, kwa mwaka mmoja pesa umepata wapi? Kwa biashara ipi?
 
Mkuu hapo hapo low profile elezea kidogo inakuaje kuaje km una experience ya mmoja wapo aliefanya hivyo yaan alikomba mamillion ya tajiri akakimbia akakaa low profile na mpaka leo hajakamatwa?
Unazinguwa siyo siri, mtu uzi akiona umeenda page nyingi anapata hata uvivu kufuatilia kumbe kuna mjinga mmoja karibu page tano zimejaa useless post zako.

Unashusha quality ya JF.
 
BOngo hakuna upinzani Ccm watatuongoza mpaka papatikane wapinzani wa kweli! Wapinzani wetu wao ni kupinga serekali tu! Hata mm nikiamka sasahivi nikaitukana serekali watanitetea na ntakua Shujaa nikipotea ntaongezeka kama hoja kwenye mabishano majukwaani! Ila kuanzisha Hoja za msingi aaah
Watu kama hao wakipotea utasikia oh haki za binaadamu maisha haya unafiki sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…