Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

Duh sijaelewa
Nilivyoelewa;
1. Mali za wizi-mali zinaibiwa eneo moja kuja kuuzwa Kariakoo and verse versa
2. Dhuruma-kutokana na mali kauli au vinginevyo

MATOKEO YAKE
urejeshaji wa visasi na kukomoana kwa mitindo mbalimbali ikiwa ni pamoja na utekaji hatimaye kudhurumu uhai wa wahusika, kwa kifupi sheria mkononi ndicho kitu kinafanywa kwa asilimia kubwa!!
 
BOngo hakuna upinzani Ccm watatuongoza mpaka papatikane wapinzani wa kweli! Wapinzani wetu wao ni kupinga serekali tu! Hata mm nikiamka sasahivi nikaitukana serekali watanitetea na ntakua Shujaa nikipotea ntaongezeka kama hoja kwenye mabishano majukwaani! Ila kuanzisha Hoja za msingi aaah
Watu kama hao wakipotea utasikia oh haki za binaadamu maisha haya unafiki sana mkuu
wapinzani bongo miyeyusho sana,wanafanya sometimes tunaona bora hawa majini wetu waliomadarakani..
nilishangaa sana kuona zile kelele nyingi vile nikasema hawa jamaa wanawafahm vizuri hawa watu wanaowapigia kelele wapatikane
 
Kama inakuja inakata, kuna dogo kijijini kwetu alikuja huko Dsm nahisi kuuza hiyo mizigo ya matajiri, mwaka mmoja akarudi home na ukwasi, akajenga nyumba chap ndani ya week akaezeka. Week ya tatu akaanza kuumwa na kufa haraka haraka.

Tukazika tukasahau
Hapo ulonzi
 
Au wivu mtaani
 
BOngo hakuna upinzani Ccm watatuongoza mpaka papatikane wapinzani wa kweli! Wapinzani wetu wao ni kupinga serekali tu! Hata mm nikiamka sasahivi nikaitukana serekali watanitetea na ntakua Shujaa nikipotea ntaongezeka kama hoja kwenye mabishano majukwaani! Ila kuanzisha Hoja za msingi aaah
Watu kama hao wakipotea utasikia oh haki za binaadamu maisha haya unafiki sana mkuu
Mambo
 
Mkuu hapo hapo low profile elezea kidogo inakuaje kuaje km una experience ya mmoja wapo aliefanya hivyo yaan alikomba mamillion ya tajiri akakimbia akakaa low profile na mpaka leo hajakamatwa?
Ww jamaaaa hahahaha

Mimi ni mmoja wao nimekimbilia lindi nachingwea nikajenga nyumba ya wastani na kuoa na ninaigiza mm n masikini kama wao mwaka wa Saba sasa
 
walivyopotea wale vijana watano nikaanza kuona watu wachadema na wanaharkt uchwara wanapga kelele nyingi ndio pale nilipojuq hivi vyama vya upinzani sometimes navyo miyeyusho tu..either hawako well informed au wanafanya t kwa maslahi yao.
.nawafaham wale vijana mmoja baada ya mwngne mpaka walipokua wanaish na shughuli zao zilikua nini.
kama walikufa mwenyez mungu awasamehe madhambi yao na awalaze mahala pema peponi mahome boyz.
Tupo story mambo yako yalikuwa nn
 
Vijana hao watano walikua na wanajihusisha na nini Mkuu mpaka yakawakuta hayo maswaibu ya kupotezwa?
 
Back
Top Bottom