Nilivyoelewa;Duh sijaelewa
Kama hafanyi biashara hawezi kuelewaNdio umfafanulie Mali kauli ni nini
Mueleweshe hivyo hivyoKama hafanyi biashara hawezi kuelewa
wapinzani bongo miyeyusho sana,wanafanya sometimes tunaona bora hawa majini wetu waliomadarakani..BOngo hakuna upinzani Ccm watatuongoza mpaka papatikane wapinzani wa kweli! Wapinzani wetu wao ni kupinga serekali tu! Hata mm nikiamka sasahivi nikaitukana serekali watanitetea na ntakua Shujaa nikipotea ntaongezeka kama hoja kwenye mabishano majukwaani! Ila kuanzisha Hoja za msingi aaah
Watu kama hao wakipotea utasikia oh haki za binaadamu maisha haya unafiki sana mkuu
Yuko wapi nimuelekezeMueleweshe hivyo hivyo
Mmejaribu kumuuliza Ashura wa yule Diwani mtoto wa Marehemu Askofu wa Receive a container from ChinaKama pia mnakumbuka wale vijana waliopotea wakati wa sherehe za eid wote ni vijana wa Kariakoo
AnashangazaHuyo Lethergo sijui hiyo miaka 35+ kakaa dar ipi..
Ana maswali ambayo hata mtu ambae haijui dar kabisa hawezi uliza ..
Hapo ulonziKama inakuja inakata, kuna dogo kijijini kwetu alikuja huko Dsm nahisi kuuza hiyo mizigo ya matajiri, mwaka mmoja akarudi home na ukwasi, akajenga nyumba chap ndani ya week akaezeka. Week ya tatu akaanza kuumwa na kufa haraka haraka.
Tukazika tukasahau
Au wivu mtaaniKama inakuja inakata, kuna dogo kijijini kwetu alikuja huko Dsm nahisi kuuza hiyo mizigo ya matajiri, mwaka mmoja akarudi home na ukwasi, akajenga nyumba chap ndani ya week akaezeka. Week ya tatu akaanza kuumwa na kufa haraka haraka.
Tukazika tukasahau
MamboBOngo hakuna upinzani Ccm watatuongoza mpaka papatikane wapinzani wa kweli! Wapinzani wetu wao ni kupinga serekali tu! Hata mm nikiamka sasahivi nikaitukana serekali watanitetea na ntakua Shujaa nikipotea ntaongezeka kama hoja kwenye mabishano majukwaani! Ila kuanzisha Hoja za msingi aaah
Watu kama hao wakipotea utasikia oh haki za binaadamu maisha haya unafiki sana mkuu
Hilo linakuwa ni funzo kwa wengine. Ukiacha hiyo tabia ikue kila siku utakuwa ni mtu wa kupata hasara.Yaan kashakula Pesa ya watu anaanza kubanduliwa Kucha tena Mkuu? Sasa Pesa inarudi vipi na yeye unamkamua utumbo mpana Mkuu?
Kwa hio ndio mpaka umkamue utumbo mkuu Pesa yako si kashakupa na kashakuomba msamaha yaishe Doni si unamuacha aende tu?Hilo linakuwa ni funzo kwa wengine. Ukiacha hiyo tabia ikue kila siku utakuwa ni mtu wa kupata hasara.
Ww jamaaaa hahahahaMkuu hapo hapo low profile elezea kidogo inakuaje kuaje km una experience ya mmoja wapo aliefanya hivyo yaan alikomba mamillion ya tajiri akakimbia akakaa low profile na mpaka leo hajakamatwa?
Tupo story mambo yako yalikuwa nnwalivyopotea wale vijana watano nikaanza kuona watu wachadema na wanaharkt uchwara wanapga kelele nyingi ndio pale nilipojuq hivi vyama vya upinzani sometimes navyo miyeyusho tu..either hawako well informed au wanafanya t kwa maslahi yao.
.nawafaham wale vijana mmoja baada ya mwngne mpaka walipokua wanaish na shughuli zao zilikua nini.
kama walikufa mwenyez mungu awasamehe madhambi yao na awalaze mahala pema peponi mahome boyz.
Ya kweli haya mkuu emu elezea ilikuaje kuaje hapo?Ww jamaaaa hahahaha
Mimi ni mmoja wao nimekimbilia lindi nachingwea nikajenga nyumba ya wastani na kuoa na ninaigiza mm n masikini kama wao mwaka wa Saba sasa
Una umri gani?Kwa hio ndio mpaka umkamue utumbo mkuu Pesa yako si kashakupa na kashakuomba msamaha yaishe Doni si unamuacha aende tu?
Vijana hao watano walikua na wanajihusisha na nini Mkuu mpaka yakawakuta hayo maswaibu ya kupotezwa?walivyopotea wale vijana watano nikaanza kuona watu wachadema na wanaharkt uchwara wanapga kelele nyingi ndio pale nilipojuq hivi vyama vya upinzani sometimes navyo miyeyusho tu..either hawako well informed au wanafanya t kwa maslahi yao.
.nawafaham wale vijana mmoja baada ya mwngne mpaka walipokua wanaish na shughuli zao zilikua nini.
kama walikufa mwenyez mungu awasamehe madhambi yao na awalaze mahala pema peponi mahome boyz.