Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

Mimi huwa na vaa nguo cha msingi imenitoa sina muda wa kuchunguza maana ya rangi. Sijui rangi hii inamaanisha nini namwachia mbunifu wa rangi.
 
Kuna wanaovaa nguo za ndani za rangi hizo huku nje wakipigilia rangi za kawaida tu na wenye tutawatambuaje mleta mada
 
Television moja inaitwa "WACHAFU BABY" in hizo rangi za chama cha MASHOGA.
 
Mwaka jana nikajisemea sishabikii tena EPL nilivyoona wanashabikia huo usenge kuanzia kwa manahodha kuvaa vitambaa vyenye rangi husika mpaka matangazo ya pembeni ya uwanja.
Mkuu hii niliona kwenye Euro 2020 mpaka Alianz Arena waliweka mitaa ya rangi hizo kumbe ilikuwa ni maadhimisho ya mashoga na wasagaji kila mwaka. Inasikitisha sana.
 
Mimi huwa na vaa nguo cha msingi imenitoa sina muda wa kuchunguza maana ya rangi. Sijui rangi hii inamaanisha nini namwachia mbunifu wa rangi.
Ukienda nchi za wenzetu unaweza kushikwa tako sasa,utasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…