Nchi za wenzetu nikafanye nini huko kwa masikini . Sisi Tz ni matajiri . Mambo mengine ni porojo to za mitandaoni hivyo hayana uhalisia . Kama ni hivyo fikiria madesigner wengi wakubwa ni haya mashoga hivyo muache pia kutumia vitu vinavyotengenezwa na waoUkienda nchi za wenzetu unaweza kushikwa tako sasa,utasemaje?
Hao wanatumika kama vishawishi lakini si kweli. Kwanini hujiulizi biashara nyingi zenye madhara zinatangazwa na watu fulani maarufu watanashati? Biashara kama sigara unachorewa mrembo mkali ukiaminishwa ukivuta utakuwa kama yeye.Nchi za wenzetu nikafanye nini huko kwa masikini . Sisi Tz ni matajiri . Mambo mengine ni porojo to za mitandaoni hivyo hayana uhalisia . Kama ni hivyo fikiria madesigner wengi wakubwa ni haya mashoga hivyo muache pia kutumia vitu vinavyotengenezwa na wao
Mimi huwa na vaa nguo cha msingi imenitoa sina muda wa kuchunguza maana ya rangi. Sijui rangi hii inamaanisha nini namwachia mbunifu wa rangi.
Sawa mkuu ila hizi rangi zilikuwepo tangu kitambo tu ila ujuaji wetu ndio unatupeleka kwenye hisia kama hizo. Rangi ni kama lugha tu utakuta neno hili kwa mfano " nyoko kwa kabila la kibena wao wanamaanisha mama ila kiswahili sisi tunachukulia kama tusi tena lenye dharau ndani yake . Neno hilohilo nyoko masela wa kibongo ndio linatumika kusifia kitu kizuri.Hao wanatumika kama vishawishi lakini si kweli. Kwanini hujiulizi biashara nyingi zenye madhara zinatangazwa na watu fulani maarufu watanashati? Biashara kama sigara unachorewa mrembo mkali ukiaminishwa ukivuta utakuwa kama yeye.
Toka 1960 huko zilikuepo lakini kwa sasa ndio ziko 🔥 ili kushawishi wengine waone kitu cha kawaida.Sawa mkuu ila hizi rangi zilikuwepo tangu kitambo tu ila ujuaji wetu ndio unatupeleka kwenye hisia kama hizo. Rangi ni kama lugha tu utakuta neno hili kwa mfano " nyoko kwa kabila la kibena wao wanamaanisha mama ila kiswahili sisi tunachukulia kama tusi tena lenye dharau ndani yake . Neno hilohilo nyoko masela wa kibongo ndio linatumika kusifia kitu kizuri.
Tatizo wabongo akili yetu kwa asilimia kubwa inawaza ngono kuliko kuwaza maendeleoKuna siku utashikwa tako na mido finga juu mzee.
Daa yaniYani maseng*# machache ndio yamebadili rangi za rainbow kuwa rangi za kiseng*###
Kwahio mwanamke hatakiwi kuvaa vazi lenye rangi ya blue?Blue
Mwambie huyo chizi...Sio kweli alama za Rastafari zinajulikana, angalia bendera ya Ethiopia utaelewa
Aaagh, na umasikini huu watu watavaa tu hivyo hivyo, kuliko kutembea peku watu watavaa tuView attachment 1890476
Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake.
Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja
lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ)
nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake. Nikajaribu kuuliza nikaambiwa lakini sikuamini.
View attachment 1890489
View attachment 1890490
Nilikuja kuthibitisha nilipoona kwenye EURO 2020 hapo ndio nikafanya uchunguzi zaidi na kupata jibu. Mtaani watu wanavaa kama Kawaida ila rangi hivi ukivalia ULAYA NA MAREKANI basi watajua ni mwanachama mwenzao au unaunga mkono vitendo ambavyo havijulikani kwa Mungu.
Shauri yako kuna siku utaombwa goti...Mimi huwa na vaa nguo cha msingi imenitoa sina muda wa kuchunguza maana ya rangi. Sijui rangi hii inamaanisha nini namwachia mbunifu wa rangi.
Maxence Melo ngoja huyu atufahamisheSijui kaka nifahamishe
Sasa hivi wanapitia kwenye chanjoZinaitwa rainbow colors.. Na mkakati ni kuleta kitu kinachoitwa rainbow nation na baadae rainbow world
Nyeusi, khaki, kijivuNdo yaleyale ya Pink ni rangi ya kike, ya kiume Ni ipi?
Umeingia kwenye nafsi yangu na kuona nawasapoti? Kesho wakiamua na nguo nyeusi wavae wao, na keshokutwa wakaona na nyeupe inawafaa, wakawa wanafanya mzunguko wa kila rangi unataka kuniambia sasa inabidi nitembee mtupu ili nisiwasupport?Ww unaevaa,unaunga mkono vitendo hivyo
kwahio wanawake wakivaa hizo rangi Ni kosa?Nyeusi, khaki, kijivu