Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu nisamehe kwa hiloUsipotoshe watu uti ni sexually transimitted
Hawa jamaa bado hawajaja bongo kufanya utafiti... Mbna watabadilisha mtazamoMimi mwenyewe nimevurugwa na hawa.View attachment 2504434
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Chanjo ya UTI? Dah Tanzania nchi yangu.Muhim upige chanjo.
Kujifanya kila mtu anajua medicine. Kila kitu mnajua. Na STI? Stupid kweli. Muache ujuaji. Ikishaitwa uti huipati kwenye vagina. Mlisoma shule gani nyie?Acha kupotosha watu wewe. Sema kwamba UTI HAIAMBUKIZWI kwa ngono pekee, ina ambukizwa kwa njia nyingine pia. Ila usiseme ngono haiambukizi UTI. Huo ni upotoshaji. Watu wanapata UTI, ukiwa uliza wanakuambia kuwa walifanya ngono zembe.
Mwanaume umri wa vijana kupata uti asilimia kubwa ina walakini, either mtaalam wa maabara kakubambika au una kinga ndogo. UTI kwa wanaume inawapata vitoto vidogo na wazee maana kinga zao zipo chini, hii kukuta likijana lipo active linasema lina uti ni ugonjwa wa ngono most of the time.kwa wanaume hiyo ndo njia kuu
Kwahyo mkuu unataka kusema hospitali wanatudanganya? Badala ya kusema tuna STD wanatuambia ni UTI na wanatupa AZUMA??Mwanaume umri wa vijana kupata uti asilimia kubwa ina walakini, either mtaalam wa maabara kakubambika au una kinga ndogo. UTI kwa wanaume inawapata vitoto vidogo na wazee maana kinga zao zipo chini, hii kukuta likijana lipo active linasema lina uti ni ugonjwa
Wewe ndiyo stupid. Unaongea na mtu mwenye uzoefu siyo vitu ulivyosoma darasani. Mtu unapata UTI baada ya kufanya mapenzi na mtu halafu unaleta blahblah zako hapa.Kujifanya kila mtu anajua medicine. Kila kitu mnajua. Na STI? Stupid kweli. Muache ujuaji. Ikishaitwa uti huipati kwenye vagina. Mlisoma shule gani nyie?
Bora hata huko kupiga Kavu Kwao ila wanapiga Kavu na katika Mlango ambao ndiyo Makao Makuu ya Taka Ngumu zote za huyo Mwanamke aliyenae.Nipo hapa hosptali ya Taifa muhimbili tunasubiri kusafirisha Mwili
Kumbe Ukimwi ikasome Mbele ya UTI Sugu hakika vijana acheni kupiga dry mtaisha huyu ni mtu wa nne kama masihara anachapa kavu dry na inamtoa Duniani UTI Sugu hawa wanawake sahivi wanaumwa Sana
Location huku Tabata Kuna hatari mpya watu wanakojoa wamechuchumaa watoto wa kiume kisa UTI Sugu.
Rip homies.
Ndo maana Mimi nimejiunga No Fap challenge kwanza Sina hela za kugharamia matibabu
Una uzoefu gani? Ata aibu huna. Ndio maana watanzania ata kwenye competitive jobs hamuwezi competition, imagine jitu zima halijui uti ni nini na inapatikanaje, achia mbali sexually transmitted infection hajui, vitu ambavyo kimsingi watoto wa miaka 9-12 wanapaswa kujua, leo jitu zima linakaza mishipa mbaya zaidi sio ata area yake ya profession.Wewe ndiyo stupid. Unaongea na mtu mwenye uzoefu siyo vitu ulivyosoma darasani. Mtu unapata UTI baada ya kufanya mapenzi na mtu halafu unaleta blahblah zako hapa.
Kabisa, ni overdiagnosed. Na kuna tafiti zinafanyika sasa hivi maana imeleta usugu wa antibiotics. Azuma ni azithromycin huwa haitibu uti ata siku moja, na daktari anayejitambua anafaham hilo, ila ni kwa ajili ya chlamydia, ambayo ni STD, na dose ikipandishwa ata gono inatibu. Ila sio uti.Kwahyo mkuu unataka kusema hospitali wanatudanganya? Badala ya kusema tuna STD wanatuambia ni UTI na wanatupa AZUMA??
Mkuu waache na ujinga waoMwanaume umri wa vijana kupata uti asilimia kubwa ina walakini, either mtaalam wa maabara kakubambika au una kinga ndogo. UTI kwa wanaume inawapata vitoto vidogo na wazee maana kinga zao zipo chini, hii kukuta likijana lipo active linasema lina uti ni ugonjwa wa ngono most of the time.
Kujifanya kila mtu anajua medicine. Kila kitu mnajua. Na STI? Stupid kweli. Muache ujuaji. Ikishaitwa uti huipati kwenye vagina. Mlisoma shule gani nyie?
Una uzoefu gani? Ata aibu huna. Ndio maana watanzania ata kwenye competitive jobs hamuwezi competition, imagine jitu zima halijui uti ni nini na inapatikanaje, achia mbali sexually transmitted infection hajui, vitu ambavyo kimsingi watoto wa miaka 9-12 wanapaswa kujua, leo jitu zima linakaza mishipa mbaya zaidi sio ata area yake ya profession
Nina uzoefu wa kupata hiyo UTI baada ya kufanya ngono. Siyo mara moja tu, zaidi ya mara tatu kila nikifanya ngono lazima nipate UTI. Tunachobishana na wewe ni kwamba unadai kwamba UTI haiwezi kuambukiza kwa njia ya ngono. Hapo ndiyo penye shida. Sijui uelewa wako ukoje. Pia najua natambua UTI siyo STD ila ina ambukizwa kwa njia ya ngono na kwa njia nyingine.Una uzoefu gani? Ata aibu huna. Ndio maana watanzania ata kwenye competitive jobs hamuwezi competition, imagine jitu zima halijui uti ni nini na inapatikanaje, achia mbali sexually transmitted infection hajui, vitu ambavyo kimsingi watoto wa miaka 9-12 wanapaswa kujua, leo jitu zima linakaza mishipa mbaya zaidi sio ata area yake ya profession.
Usibishe kipenzi UTI una ambukiza kwa njia mbili chooni na kusex na mwenye UTI n.kWakujihangaisha kutafuta elimu ni wewe unaepata UTI kwa kujamiiana,
elimu ya makaratasi, nonsenseKujifanya kila mtu anajua medicine. Kila kitu mnajua. Na STI? Stupid kweli. Muache ujuaji. Ikishaitwa uti huipati kwenye vagina. Mlisoma shule gani nyie?
Ikishaitwa uti mkuu, ondoa neno sex. Mbona rahisi alafu mtu mzima wewe unaamini uti kwa mwanaume ni rahisi? Fanya ata kugoogle wanaume wanaopata uti ni age groups zipi na wa aina gani. Hakuna uti ya kutiana. Labda kama unafanya kitu kingine ambacho sio natural. Ukiingiza kwenye vagina ukauma hiyo ni STD, acha kuchanganya vitu. Wanawake its a different story, sababu njia yao ya mkojo ni fupi sana.Nina uzoefu wa kupata hiyo UTI baada ya kufanya ngono. Siyo mara moja tu, zaidi ya mara tatu kila nikifanya ngono lazima nipate UTI. Tunachobishana na wewe ni kwamba unadai kwamba UTI haiwezi kuambukiza kwa njia ya ngono. Hapo ndiyo penye shida. Sijui uelewa wako ukoje. Pia najua natambua UTI siyo STD ila ina ambukizwa kwa njia ya ngono na kwa njia nyingine.
Sababu sio dawa kwa ajili ya UTI.Azuma mimi hazijawahi kunisaidia.
Kutokea vyooni sawa lakini kwa sex nakataa watoto je tena ndo wahanga wakubwa wa hiyo UTIUsibishe kipenzi UTI una ambukiza kwa njia mbili chooni na kusex na mwenye UTI n.k