Vijana kwa Wazee:Tuwekeze kwenye miti ya Mitiki

Haaaaaaa mngeta sehem gani mkuu?

Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
Haaaaaa, hongera Sana mkuu kutambua vema bonde oevu la Kilombero chini ya Rufiji basin, kwetu Ni mngeta mkuu!!
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
 
we umelima japo eka moja
 
Bangi sio kitu kizuri mie nimemqoute wa nazi za bagamoyo...kuna mbegu ya muda mfupi lakin naskia haina harufu ile ya nazi..sanchez amesema bgamy anataka kipanda nazi ..
sasa ladha kwa mitiki wapi na wapi slim😉😉

QUOTE="Slim5, post: 30662764, member: 196493"]Wewe unataka radha ama unataka mbao![/QUOTE]
 
Yes ni kweli na pia hizi za kisasa life span yake ni ndogo mno kuanzia miaka 15 mpaka 20, lakini mbegu za asili ni life span ni 50+ ndomana wakulima huipendelea.


hyo ya asili ndo yenyewe..mbegu unapata wap
 
hyo ya asili ndo yenyewe..mbegu unapata wap
Nilichukua contact za wadau na pia walinijulisha kuna center inayoshughulikia zao hilo la nazi apo bagamoyo kwaiyo kuanzia mbegu na taratibu za upandaji wanaweza kushauri, niliwaahidi ntawarudia tena mwezi 4. Niliwapa tasks ya kuniangalizia mashambani pori
 
Wengi wanasoma post ya kwanza tu, hawasomi majadiliano yanavyoendelea, wana-changia bila kusoma baadhi ya michango! Ndiyo maana ...vingine wanavyoruka vinawapita.
 
Acha kudharau bangi kwa vitu vya ajabu ajabu!
[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…