Vijana kwa Wazee:Tuwekeze kwenye miti ya Mitiki

Atwambie na mda wa kuvuna wenda ikavunwa miaka 30 ijayo.leo tuliambiwa tupande palachch watu wakafyeka miti wakafyeka kahawa wakapanda palachch ndivyo hivyo enzi zile za pareto,kahawa,chai,yaani ushenzi tu hatuna viwanda siriasi kabisa vyenye mahitaji ya vitu hivyo ndio maana tunafeli leo wapi korosho......acheni kuzingua leo unatuletea habari za mtiki....hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa ukiambiwa kukurupuka ndo huk ndugu yangu..ina maana toka pg ya 1 hujaona muda wa kuvunwa mkuu!
alafu mie nilitoa tu ushauri...nikaona nizao ambalo halina stress...na nimelenga zaid kwa watu wa pwani...ni rahis kwao kuliko kulimbilia njombe kununua pines ..!lol
 
hongeramm nina eka 30 ya mitiki nimeanza toka 2015 na i mitiki tu watu wenye mrengo wa kilimo cha mitiwaende hata njombe
Aisee nimekupenda ghafla..uwii 30acres..safi sana..mie toka 2015 najua hii ishu lakini sikuwa nimetilia maana..sasa nimekutana na wanaoilima...vitoto vidogo kweli na vimeinvest balaa..arghh..njombe kuna shida ya kuchomeana mashamba...
 
Maswala ya moto iringa na njombe ndo mahala pake: alafu vipi morogoro minyukano ya wakulima na wafugaji imetulia, huwa natamani sana wekeza morogoro lakini nikifikiriaga jamaa wanaweza pitisha ng'ombe zao kwenye shamba langu naishiwa nguvu
 
Kilosa ndo kuna habari hyo sana ardhi ni fertile lakini kuna ng'ombe wengi mno mno..!
 
wewe si bure wewe.... kuna kitu.... ngoja nione upepo ukoje baada ya EL kuhamisha magoli...! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘[/QUOTE]
 
mimi nipo serious. ila nataka miende shamabni kwenda kuisimamia mimi na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ