Vijana mkipata nafasi ya kuji attach kwenye royal family, Usirudi nyuma

Ukweli mtupu huu. Hasa para ya 3. Nimeipenda.
 
Utakuwa umeshaoa. Usiwaonee choyo ambao bado kutafuta fursa

Ushaga ni hulka tabia mazoea na mazingira
Act your age dogo
 
Haha royal families wanawazaga huyu mtu kaoa/kaolewa kwetu sababu ya hela tulizo nazo, mtoa mada anafikiri royal families huwa hawa-reason mambo kinondoniilala

Watu wanapenda za dezo dezo Sana, watakuja kuolewa na watatolewa marinda kama Anko T.

Wewe waache tu, Kuna Njemba juzi akiwa Bar kafuatwa na Gentleman wanataka wakamfumue marinda wampe $ 10,000.

Mwamba akahamaki, kwanini asiondoke eneo la tukio. Sasa hivi hata Wayne za watu wanaliwa tu kisamvu. Ni mwendo wa kutokana marinda na hizi royal Family hadi akili ziwakae sasa
 
Sio kila mtu ana tamaa za namna hiyo, GAVI alishaweka wazi yeye ana mchumba ake na wametoka mbali. Lol
Ukisha ona we ni mcheza mpira ka tayari Kwa lolote muda wowote, hao wachezaji wanapigwa matukio si weusi si weupe Kuna mchezaji juzi tu hapa Yuko kwenye klabu yake ya mpira kumbe demu wake anachezeshwa rungu, Ronaldo alisubiri kwanza mpaka alipo ona jua la jioni ndo kamganda Georgina hao mademu shida Yao ni wahuni sana, refer mke wa kaka, YAMAL sasa hivi anatakiwa kufunguliwa mashtaka na mpenzi wake wa sasa🀣🀣🀣🀣, muda wowote kina nuka
 
Kaa rada utajikuta unakua umeolewa usipokua na nguvu angalau ili unyanyuke...ingawa ni vizuri zaidi kwa kijana unapooa mwanamke asitoke familia ETHIOPIA(NJAA KALI)...hii itasaidia sana mapambano

Sio umeoa na unakuta wew ndio unajitafuta unajikuta ushakua tegemezi kwa familia 3..ya kwako..ya mke wako..na mliyoanzisha na mke wako.

Hivyo unaanza maisha na umefungwa goli 4-0 dk ya 30
Goli la 1 -kuzaliwa familia maskini
Goli la 2-kusoma elimu ambayo haijakusaidia
GOli la 3-kuoa mwanamke ambae katoka familia maskini
Goli la 4- maskini wote kuanzisha familia pamoja
Dk ya 30-Vijana wengi wanaoa kwenye umri huu hivyo kufanya comeback kwa hiyo migoli hapo ni ngumu mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…