Upo sahihi na ndio maana nilisema elimu pekee haitoshihahha..vijana bwana...mi tulianza na huyu wangu from ziro ..leo tumekuwa kivuli kwa wengi...siri ni kufanya kazi ..kupata maarifa yatakokufanya uwe the best version of yourself....tambuen hilo..wote mnaowasifu wameteseka na kupata maarifa yaliyowainua na kuwadikisha hapo...
Kwa hiyo pambaneni..unlock your potential na maisha mtayapatia..huwezi kuwa mchoma mkaa halafu ukutane na bint kaliba ya charlene..au boda boda halafu ukutane na bint yangu Blanca au Bianca ambao exposure,elimu na mar8fa waliyo nayo ni ya level za juu sana..so level yako ndo itadetermine ukutane na nani na wapi...japo kwenye maisha kila mtu na bahati yake....
Msalimie Blanca baba mkweMilele Amina
Then he is not smartAcha hizo mambo...
Ndoa ni kitu ingine.
Kuna jamaa yangu wameoa huko ila wanaishi kama kondoo...
Wanaume tunapenda uhuru...
Uhuru wako ni bora kuliko mafanikio lukuki
So maturity ndio kutake advantage kujiunganisha na waliojipata?Then he is not smart
Ndoa ni kitu kingine ndio nini
Ingekuwa ni kitu kingine tusingeona divorce rate za masikini
Ndoa inahitaji maturity na sio kitu kingine
Hizo pesa atakuwa katoa mtoto wa RutoMpaka kujiattach lazima nawewe uwe na kitu kinachoweza kukuweka hapo, kuna sehemu ukiji-position atajishtukia mwenyewe kama huna kitu cha ku contribute. Inasemekana mwamba katoa 143.9B kama mahari, sasa kama huna kitu huwezi fika high table.
We know, "fake it till you make it really" kuna vitu vinatokea accidentally tu, na mara nyingi demu/huyo mwanamke awe attracted nawewe. And not otherwise
Soma historiaUzi hauna uhalisia huu, Uzi wa kitabuni, mpaka mtu ukutane na wanawake wa hivyo maana yake nawewe upo vizuri, sasa kijana alie malampaka huko au katavi, au hata dar na popote Tanzania, kama sio mtu wa class hiyo hao wanawake wa vigogo atakutana nao wapi??
Hao jamaa wote uliowataja hapo nao wapo vzuri sio mafala kama sisi.
Basi hapa hatuelewani.Unaumia nini
Hutaki watu wawe na Maisha ya utulivu pia ? Sio lazima ujenge nyumba kama wazazi walikuachia nyumba
niombee msamaha nisichambweWe mmama ukipigwa na madogo hatukusaidii! 😊
Mfumo dume🔥🔥🔥
HAKUNA UBISHI HAPA .
UNAPOOA DEMU ALIE CHINI KIMAISHA YAKO NA FAMILIA YAKO ANAKUWA SUBMISSIVE KWAKO NA ILI NDOA IWE ITULIE LAZIMA MMOJA AWE MASTER
SAASA NGOJA UJICHANGANYE UOE DEMU KWAO WANA HARRIER ALAFU ANA MAKEBO MAKUBWA NDIO UTAJUA HAUJUI😁😁
😂😂sio poaUnafinyiwa kwa ndani huku una njaa
Ni upuuzi
Umepiga penyewe...kijana anawaza berting,shisha,mibange halafu aje aopoe corporate lady from high profile family??never...atapata hawa kina mwajuma kanda mbili....hana passport ya kusafiria,NIDA yenyewe ana namba tu..hana skills..ana degrii laka amestack hajiendelezi kutafuta maarifa zaidi..hajawahi kutoka nje ya mkoa wake let alone nje ya nchi...huyu atajiattaxh wapi sasa zaidi ya hawa kina binti sikitu waliozalishwa watoto 2....Upo sahihi na ndio maana nilisema elimu pekee haitoshi
You need networking na kuji attach ,
Ukiwa umesoma au any great skills jamii itakusikiliza
Kama mwanamke yupo vema kichwani familia bora na amekuelewa usisite
Ingia humo na explore your code
Nilikutana na dada wa kutoka familia ya maprofesa way back , hana tako wala hajui mambo ya kufinyia kwa ndani kama wala wahuni wa sasa
But kichwa kipo vema balaa , wakati nipo nateseka na Hospital za Umma . Nilipomkamata tu , mwaka 1 mkwe ananiambia utashika vidonda hadi lini ; hakuna maisha huko mahospital ya gvt
Toka huko
Kwa kuwa tayari nilikuwa na elimu ilikuwa simple kunipa mkono na kupata life couching
Sio unataka kuji attach royal family Halaf kichwani umejaza shisha na betting… hakuna familia ya maana itakayokubali
You must have skills and be presentable plus confidence
Halaf wao kuoa wazee ni sawaKwanini wanawake huwa mnateseka sana pale sisi vijana wa kiume anapotokea mtu wa kutushika mkono? Kwanini huwa hampendi sisi tubwebwe kiuchumi either na wanaume wenzetu au wanawake wenzenu?