Vijana mliopo A-level: Technique rahisi nilizotumia kupiga Division One ya 3 form six bila kukesha darasani

mkuu maisha ni machaguo,kufauli haimanishi uwe na hela nyingi mbeleni la hasha yawezekana maono yake ni kuwasaidia watanzania wenzake kupitia kuajiliwa serikalini analifanikisha hilo
 
anafikiri AAA za physics ukienda nazo dukani unapewa unga,,, au unanunua gari kwa cheti cha AAA huku ni maujanja ujanja tu.. mwisho wa siku dogo ontario kamtapeli hela zake pamoja na AAA zake.. huo ndio mtaaa sasa
Kumbe alitapeliwa!
 
Haki ya nani, nilipoona maelezo yako haya imebidi nirudie kumsoma tena Engineer ili nione mahali aliposema "kaajiriwa na serikali"; Walahi sijapaona, eti ni wapi!?

sisi wapemba tunajuana kwa vilemba.. ndio maana hajaja kupinga.. huyu tunajuana toka miaka mingi enzi za forex ni biashara ambayo benk haitaki ujue
 
ahhahahhaha jamaa angu m1 alikua anasemaga hesabu zinafataga ukoo..af mbaya zaid ukoo wao aziwataki
 
kaka heshima kwako.. umeongea point tupu... humu tunaponda sababu huyu engineer ana dharau sana.. alitutukana sana zama za forex.. sasa amepigwa na dogo ontario.. na sisi zamu yetu kumueleza ukweli... hajui ku reason ndio maana ana maisha magumu.. alishawai kupanga hadi kuzitapeli benk huyu huyu engineer vyeti tu... kuchwan hamna kitu ukiongelea elimu ya mtaa

 
 
CCIE lini kiongozi?? Maana bongo wapo 2 tu wenye nayo tena wahindi.
 
Hongeren kwa nafas zenu.
Cha msingi tutimize majukum yetu.


Kama haujasoma na umefanikiwa sawa-SAIDIA JAMII

kama umesoma na umefanikiwa -JITAHID UFAIDISHE NA WENGNE ELIMU YAKO.

NB:
ILA KWA MANENO HAYO@CCNP ENGINEER....UNAONEKANA HUJAFAIDIKA VYAKUTOSHA
 
Hiyo NB tegemea povu
[emoji23]
 
anafikiri AAA za physics ukienda nazo dukani unapewa unga,,, au unanunua gari kwa cheti cha AAA huku ni maujanja ujanja tu.. mwisho wa siku dogo ontario kamtapeli hela zake pamoja na AAA zake.. huo ndio mtaaa sasa
Aisee maisha ya bongo bana, unapiga 1 unakuja kusukuma spacio, watu wa 3 na wasio soma wana range na discovery 7[emoji2]
Kusoma sana ni Uwoga wa maisha
Muulizeni huyo jamaa na mi AAA yake wasio soma wangapi wanamzidi asituaminishe maisha ni kusoma tu..
Nna jamaa yangu alikuwa TO ila yuko kitaa magomeni kapanga chumba kimoja akipiga mapindi. Kusoma na kupata maksi kubwa bila kuwa na akili za kitaa utaishia kunung'unika moyoni ... AAA zisizokusaidia ni kazi Bure
Waafrika wana roho ya kwanini sana. Hawapendi kuona mwenzao ana kitu kizuri.

Kila mtu asifiwe kutokana na jema alilonalo. Ninyi wenye hela mtasifiwa kwa hela zenu, na wenzenu wenye akili watasifiwa kwa akili zao. Ninyi mna hela, na wenzenu wana akili.

Japo mimi nilifeli form four, ila ninawathamini sana wenye akili, na ninafurahi sana ninapoona mtu kapata one kali.

Hizo gari zenu zimetokana na wenye akili, zimetengenezwa kutokana na elimu. Bila ya hawa wenye akili, vitu vingi mnavyomiliki msingekuwa navyo.

Wenye akili wanaitengeneza dunia.
PUMBAVU NYIE.
 
Kuna komenti nyingine unajikuta tu unawaza kwa sauti...hivi wewe unayesema kuwa AAA za darasani si mali kitu una watoto unasomesha?? Unatoa taswira gani kwa wanao? Ndio nyinyi hata homework au maendeleo ya mtoto shuleni unamwachia mke au housegirl. Dah maumivu. Hiyo ya kuwa waliofaulu wana maisha ya shida kuliko ya waliofeli au ambao hawajaenda shule sijui mnatumia denominator gani na wala sijui mmeverify vipi?

Mdogo wangu hongera sana kwa kutoa somo kali kwa wenetu, wadogo zetu wenye kujua maana ya elimu. Hayo ya kuchagua kuajiriwa na serikali au hapana ni maamuzi ya mtu na malengo yake na wala sio kutokujua ukitakacho. Wanaonanga hata wao wangefaulu pia wangeseek government employment.

Tujifunze kukubali na kusifia juhudi za wenzetu.
 
Mkuu kusema kweli sina mpango. Level nilofika naona inanitosha.
Mkuu hujanijibu why hukutaka kufundisha? Pale COET au ndio tuseme enzi hizo unahitimu ni vile ma prof wa pale hawakuona wewe unafaa au ndio ile kubebana maana nimeliona hili la kubebana sana kama unafahamiana na prof na performance yako iko vizuri kwako?
 
Mkuu umeelewa comment yangu ? Rudi uisome vizuri, mimi sijaelezea chochote kuhusu huyu jamaa, kuna mtu nilimjibu tu ualisia wa bongo nikiwa na maana nchi yetu elimu haithaminiki mtu unasoma unapiga 1 then ka mshahara kadogo so unaishia kusukuma spacio
Kwa vyovyote sijamsema mleta mada
Siku nyingine utumie ustaarabu na akili ,kama matusi hata mi nayajua
 
Kwahiyo mwenye pesa hana akili? kufaulu shule sio akili nyingi ila ni kumbukumbu tu ya uliyoyasoma ,.........mwenye pesa ndiye mwenye akili Siku zote
 
Dah nilichokiona katika huu Uzi kuna watu mna historia na upinzani wa chini kwa chini kumbe ambao sie wengine tulikuwa hatuujui kumbe mnafahamiana kutoka huko FOREX sasa sie tuliodandia mmetuingiza chaka na kutafuta upande wa kulaumu kuwa hauthamini upande mwingine.

Ushauri wangu tupambane tu na maisha mliosoma na ambao pia hatukusoma maana hiyo ndo dhamira ya kila binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…