min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
90 bado sana kuoa mkuuHamuoi pumbavu zenu mnahangaika na vibinti vya 2000s
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
90 bado sana kuoa mkuuHamuoi pumbavu zenu mnahangaika na vibinti vya 2000s
Huwa ninawaona sana😃Ndo hao mkuu Wala hujakosea
Aondoke haraka sana kwasababu anahamasisha watoto wafanyaje ujinga kama wakeKuna dem kazaliwa 90 mwaka 2005 kazaa mtoto, mtoto wake nae kazaa mtoto mwaka huu 2023. Kwa hiyo huyo dem wa 90 ana mjukuu. Vipi nae atoweke duniani? Vipi vizazi viwili atakavyoviacha havitakuwa kama yeye?
Umevurugwa au stress za maisha????!!!??Habari zenu
Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya
Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio sehem ya kufanyia huo ufuska wenu, hapo Bado sijazungumzia mnavyopenda Kwa mparange, yaani hiki kizazi IPO siku kitatuletea moto kutoka mbinguni
Hiki kizazi kinashusha uchumi wa nchi wao wanachojali ni kulewa mapombe na kuvuta mishisha tu hawajali hata kujenga wao kazi yao ni kuomba Hela na kukaa Kwa wazazi wao akijitahidi sana basi ataenda kukaa Kwa shemeji yake,, sasa kizazi kama hichi ni Cha nini hapa duniani kama sio kipo kwaajili ya kututia umaskini tu
Kwenye mmomonyoko wa maadili huko ndo usiseme yaani saiv mpaka tunaogopa kuwaacha watoto nje maana mnayoyafanya pamoja na mavazi yenu yanatuharibia watoto wetu, tumechoka kuwaona mkivaa vijora bila nguo za ndani mnahamasisha na kuwafunza vibaya watoto wetu.
Kwa Leo naishia hapa ila Kila siku nitakuja namwaga nyongo hadi muanze kujiua mmoja mmoja Ili tuishi Kwa amani. In short nyinyi kizazi Cha 90 hatuwapendi Bora mtupishe mkaishi huko maporini
Binti wa miaka 33 ana mjukuu? Mbona kizazi chake kimekuwa cha hovyo namna hiyo.Kuna dem kazaliwa 90 mwaka 2005 kazaa mtoto, mtoto wake nae kazaa mtoto mwaka huu 2023. Kwa hiyo huyo dem wa 90 ana mjukuu. Vipi nae atoweke duniani? Vipi vizazi viwili atakavyoviacha havitakuwa kama yeye?
Duuuh!Kuna dem kazaliwa 90 mwaka 2005 kazaa mtoto, mtoto wake nae kazaa mtoto mwaka huu 2023. Kwa hiyo huyo dem wa 90 ana mjukuu. Vipi nae atoweke duniani? Vipi vizazi viwili atakavyoviacha havitakuwa kama yeye?
Habari zenu
Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya
Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio sehem ya kufanyia huo ufuska wenu, hapo Bado sijazungumzia mnavyopenda Kwa mparange, yaani hiki kizazi IPO siku kitatuletea moto kutoka mbinguni
Hiki kizazi kinashusha uchumi wa nchi wao wanachojali ni kulewa mapombe na kuvuta mishisha tu hawajali hata kujenga wao kazi yao ni kuomba Hela na kukaa Kwa wazazi wao akijitahidi sana basi ataenda kukaa Kwa shemeji yake,, sasa kizazi kama hichi ni Cha nini hapa duniani kama sio kipo kwaajili ya kututia umaskini tu
Kwenye mmomonyoko wa maadili huko ndo usiseme yaani saiv mpaka tunaogopa kuwaacha watoto nje maana mnayoyafanya pamoja na mavazi yenu yanatuharibia watoto wetu, tumechoka kuwaona mkivaa vijora bila nguo za ndani mnahamasisha na kuwafunza vibaya watoto wetu.
Kwa Leo naishia hapa ila Kila siku nitakuja namwaga nyongo hadi muanze kujiua mmoja mmoja Ili tuishi Kwa amani. In short nyinyi kizazi Cha 90 hatuwapendi Bora mtupishe mkaishi huko maporini
Mmmmmh! Basi nyie msio wa 2000 na 90's ni mafisadi sana kustaafu hamtaki kazi kuiba tu.Na kizazi cha 2000 je tusemeje wavaaa sokxi za marangirangi na sendo za manyoya a.k.a cha amapiano
Sio poa hiko kizazi cha 2000s kina balaaNadhani kazi kubwa ipo kwa 2000s, hapa shughuli ni pevu.
Nadhani kazi kubwa ipo kwa 2000s, hapa shughuli ni pevu.
Kutuma pesa au nini?Sio poa hiko kizazi cha 2000s kina balaa
Kabinti ka 2003 kalinitumia meseji niambie kama unatuma au hautumi nijue cha kufanya
Nilichoka mkuu, wa miaka ya 90 wanatupiga vizinga lakini kwa adabu kiaina
Asilimia kubwa ya kizazi Cha 90 wengi wanajifanya wamezaliwa 2000. Reference nenda tinder au badoo angalia walio kwenye huo mri utagundua wengi wao ni vikongwe vya 90 ila vimeamua kuwachafulia wa 2000Mkuuu naomba usitufokee tafadhali umesahau kuna kizazi cha 2000 ndio balaa kuliko usije ukawa unatufananisha nao maana tukisimama nao sisi ni wadogo kuliko wao wakati kiumri tumewazidi
Nyie kizazi cha 2000 ndio mnaongoza kwa kufeerwa hovyo mkiongozwa na washenzi wakuu Gigy na Amber tigo. Mungu alete gharika tu awafyekeHabari zenu
Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya
Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio sehem ya kufanyia huo ufuska wenu, hapo Bado sijazungumzia mnavyopenda Kwa mparange, yaani hiki kizazi IPO siku kitatuletea moto kutoka mbinguni
Hiki kizazi kinashusha uchumi wa nchi wao wanachojali ni kulewa mapombe na kuvuta mishisha tu hawajali hata kujenga wao kazi yao ni kuomba Hela na kukaa Kwa wazazi wao akijitahidi sana basi ataenda kukaa Kwa shemeji yake,, sasa kizazi kama hichi ni Cha nini hapa duniani kama sio kipo kwaajili ya kututia umaskini tu
Kwenye mmomonyoko wa maadili huko ndo usiseme yaani saiv mpaka tunaogopa kuwaacha watoto nje maana mnayoyafanya pamoja na mavazi yenu yanatuharibia watoto wetu, tumechoka kuwaona mkivaa vijora bila nguo za ndani mnahamasisha na kuwafunza vibaya watoto wetu.
Kwa Leo naishia hapa ila Kila siku nitakuja namwaga nyongo hadi muanze kujiua mmoja mmoja Ili tuishi Kwa amani. In short nyinyi kizazi Cha 90 hatuwapendi Bora mtupishe mkaishi huko maporini
Unaijua tinder na badoo halafu bado unajipa moral authority ya kuhukumu kizazi cha 90'sAsilimia kubwa ya kizazi Cha 90 wengi wanajifanya wamezaliwa 2000. Reference nenda tinder au badoo angalia walio kwenye huo mri utagundua wengi wao ni vikongwe vya 90 ila vimeamua kuwachafulia wa 2000