Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

Habari zenu

Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya

Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio sehem ya kufanyia huo ufuska wenu, hapo Bado sijazungumzia mnavyopenda Kwa mparange, yaani hiki kizazi IPO siku kitatuletea moto kutoka mbinguni

Hiki kizazi kinashusha uchumi wa nchi wao wanachojali ni kulewa mapombe na kuvuta mishisha tu hawajali hata kujenga wao kazi yao ni kuomba Hela na kukaa Kwa wazazi wao akijitahidi sana basi ataenda kukaa Kwa shemeji yake,, sasa kizazi kama hichi ni Cha nini hapa duniani kama sio kipo kwaajili ya kututia umaskini tu

Kwenye mmomonyoko wa maadili huko ndo usiseme yaani saiv mpaka tunaogopa kuwaacha watoto nje maana mnayoyafanya pamoja na mavazi yenu yanatuharibia watoto wetu, tumechoka kuwaona mkivaa vijora bila nguo za ndani mnahamasisha na kuwafunza vibaya watoto wetu.

Kwa Leo naishia hapa ila Kila siku nitakuja namwaga nyongo hadi muanze kujiua mmoja mmoja Ili tuishi Kwa amani. In short nyinyi kizazi Cha 90 hatuwapendi Bora mtupishe mkaishi huko maporini
Go to hell kizz
 
90's ni kizazi kilichokutana na utandawazi, wanaitumia fursa effectively! Kuhusu machafu uliyoyataja yamefanywa na kila kizazi ila kwa 90's haya mambo yamekua exposed sana kutokana na utandawazi.
 
Labda alienda kutafuta mchumba tinder na badoo mwisho wa siku akalamba garasa 😁😁
Huko tinder nilikua nafanya research Kuja kiini Cha matatizo ya hapa nchini kwetu na Dunia Kwa ujumla nikagundua hiki kizazi Cha 90 ndio kiini Cha mambo mabaya
 
Asilimia kubwa ya kizazi Cha 90 wengi wanajifanya wamezaliwa 2000. Reference nenda tinder au badoo angalia walio kwenye huo mri utagundua wengi wao ni vikongwe vya 90 ila vimeamua kuwachafulia wa 2000

Ni jinsi gani ulivyo mzee wa hovyo umejidhihirishia
 
Huko tinder nilikua nafanya research Kuja kiini Cha matatizo ya hapa nchini kwetu na Dunia Kwa ujumla nikagundua hiki kizazi Cha 90 ndio kiini Cha mambo mabaya
Tinder na badoo uliijuaje mkuu.
Yani ukafanye research dating sites ambazo ni sawa na kuenda kufanya survey ya true love kimboka au riverside ??....

Halafu watoto wa 90 wanakuwaje chanzo cha matatizo ilhali walizaliwa na hivyo vizazi vilivyopita??...

Kwa nini usilaumu vizazi vilivyopita kwa parental failure

By the way siamini upo serious mkuu kwa hiyo conclusion 😁😁
 
WATOTO WENGI WA SINGO MAZA
NI MIAKA HIYO FASHENI YA KUZAA NA KUTUNZA MTOTO MWENYEWE ILIANZA.
 
Back
Top Bottom