Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

Yesu mwenyewe alikuja kwaajili ya wenye dhambi na hakubagua hata Makahaba kama Rahabu, Mleta mada asiingie huko Tinder na Badoo kufanya utafiti kwa lipi haswa?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Ni kweli mkuu ila context ya anachokifanyia research na eneo husika sidhani kama vinaendana. Ni sawa na ufanye conclusion ya tabia za watu wa dar kwa kufanyia utafiti kimboka pekee
 
Nadhani kazi kubwa ipo kwa 2000s, hapa shughuli ni pevu.
Aiseee
Umeongea ukweli.
Hawa wa 2000s wanatrend na kila tukio.
Ule ujinga wa beach na swimming pool ni wao, akiwa boda boda ni hatari, wanaongoza kwenda massage parlors, hawaogopi polisi, wao ndo panya road, wanavaa vizuri na hawana kazi nzuri, wanajua sehemu nyingi za starehe kuliko za Ibada....
 
Aiseee
Umeongea ukweli.
Hawa wa 2000s wanatrend na kila tukio.
Ule ujinga wa beach na swimming pool ni wao, akiwa boda boda ni hatari, wanaongoza kwenda massage parlors, hawaogopi polisi, wao ndo panya road, wanavaa vizuri na hawana kazi nzuri, wanajua sehemu nyingi za starehe kuliko za Ibada....
Sasa tusivae nguo jmn tukae uchi, eti hawana kazi nzuri 😂😂😂
 
We kizazi cha?.
Au kuna 90's kapita na shemeji nini maana hii vita yako sio bure kuna jambo.
Kuna siku niliokota wallet ya kijana wa 90 nikakutana na vumbi la kongo, hyo ni sign ya kwamba vijana hawana uwezo... Mi mke wangu nikiskia amechepuka na Hawa vijana siwez kuumia maana najua huko faragha walikua wanapiga stori za mapenzi tu
 
Kwa kweli hivi vizazi vipya vinavyokuja kuanzia na mwaka 1990 kwenye upande wa maadili ni majanga na hili ni kosa la wazazi wao kushindwa malezi, kwa hiyo badala ya kuwashambulia tuangalie na chanzo pia.
 
Habari zenu

Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya

Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio sehem ya kufanyia huo ufuska wenu, hapo Bado sijazungumzia mnavyopenda Kwa mparange, yaani hiki kizazi IPO siku kitatuletea moto kutoka mbinguni

Hiki kizazi kinashusha uchumi wa nchi wao wanachojali ni kulewa mapombe na kuvuta mishisha tu hawajali hata kujenga wao kazi yao ni kuomba Hela na kukaa Kwa wazazi wao akijitahidi sana basi ataenda kukaa Kwa shemeji yake,, sasa kizazi kama hichi ni Cha nini hapa duniani kama sio kipo kwaajili ya kututia umaskini tu

Kwenye mmomonyoko wa maadili huko ndo usiseme yaani saiv mpaka tunaogopa kuwaacha watoto nje maana mnayoyafanya pamoja na mavazi yenu yanatuharibia watoto wetu, tumechoka kuwaona mkivaa vijora bila nguo za ndani mnahamasisha na kuwafunza vibaya watoto wetu.

Kwa Leo naishia hapa ila Kila siku nitakuja namwaga nyongo hadi muanze kujiua mmoja mmoja Ili tuishi Kwa amani. In short nyinyi kizazi Cha 90 hatuwapendi Bora mtupishe mkaishi huko maporini
Hiki kizazi cha sasa kimelelewa na kizazi cha zamani, ukiona kizazi cha sasa kinapotea basi kaa ukijua kizazi cha zamani kilishindwa kutimiza majukumu yao upande wa malezi.

Wapo vijana wa kizazi hiko hiko cha tisini wapo vizuri ukichunguza walipata malezi sahihi kutoka kizazi cha zamani.

Kama jamii kiijumla tukubaliame upande wa malezi tumechemka.
 
Back
Top Bottom