Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

alafu nyie mnaojiita vijana wa zamani mliendekeza tamaa za mapenzi mapaka kwa sokwe mkaleta mpaka UKIMWI na hatulalamiki wala nini😅😅😅..acha masimango,tukisema tuwalalamikie nyie mtatamani dunia ipasuke mjifiche humo.
 
Kwa kweli hivi vizazi vipya vinavyokuja kuanzia na mwaka 1990 kwenye upande wa maadili ni majanga na hili ni kosa la wazazi wao kushindwa malezi, kwa hiyo badala ya kuwashambulia tuangalie na chanzo pia.
Sawa nakubali shida IPO kote ila nao wanajiendekeza sana. Miaka yetu hakukua na shisha hivyo ilikua ni vigumu kuwakataza matumizi ya shisha... Miaka yetu kulikua hakuna kujirekodi video (hili wamalitafuta wenyewe lipo nje ya malezi)

Kutoa kisamvu hili tuliwakataza ila ndo wakwanza wakaweka free mlima kitonga.

Yapo mengi walikatazwa ila ndo ivo Tena kusikia Kwa kenge mpaka atoke damu
 
Habari zenu

Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya

Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio sehem ya kufanyia huo ufuska wenu, hapo Bado sijazungumzia mnavyopenda Kwa mparange, yaani hiki kizazi IPO siku kitatuletea moto kutoka mbinguni

Hiki kizazi kinashusha uchumi wa nchi wao wanachojali ni kulewa mapombe na kuvuta mishisha tu hawajali hata kujenga wao kazi yao ni kuomba Hela na kukaa Kwa wazazi wao akijitahidi sana basi ataenda kukaa Kwa shemeji yake,, sasa kizazi kama hichi ni Cha nini hapa duniani kama sio kipo kwaajili ya kututia umaskini tu

Kwenye mmomonyoko wa maadili huko ndo usiseme yaani saiv mpaka tunaogopa kuwaacha watoto nje maana mnayoyafanya pamoja na mavazi yenu yanatuharibia watoto wetu, tumechoka kuwaona mkivaa vijora bila nguo za ndani mnahamasisha na kuwafunza vibaya watoto wetu.

Kwa Leo naishia hapa ila Kila siku nitakuja namwaga nyongo hadi muanze kujiua mmoja mmoja Ili tuishi Kwa amani. In short nyinyi kizazi Cha 90 hatuwapendi Bora mtupishe mkaishi huko maporini
Tume warithi nyie mababu zetu.
 
alafu nyie mnaojiita vijana wa zamani mliendekeza tamaa za mapenzi mapaka kwa sokwe mkaleta mpaka UKIMWI na hatulalamiki wala nini[emoji28][emoji28][emoji28]..acha masimango,tukisema tuwalalamikie nyie mtatamani dunia ipasuke mjifiche humo.
Akina Elton John ni wazee wameolewa na wana watoto wanawaita mama kabisa ila tumekausha, wanadhani hatujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu ila context ya anachokifanyia research na eneo husika sidhani kama vinaendana. Ni sawa na ufanye conclusion ya tabia za watu wa dar kwa kufanyia utafiti kimboka pekee
Mbona wewe ulihitimisha kuwa eneo alilofanyia uchunguzi ni mojawapo ya kigezo cha yeye kuwa mdau wa mambo hayo?

Sawa na kujumuisha wote wanaochili maeneo ya baa ni Wahuni/Malaya #HAPANA.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo hayo yanafanya na 90's tu? Sodoma watu walikuwa wanaenda kwa mpalange kama buza
Kizazi chetu hiki balaa, ni basi tu Mungu si Kigeugeu sababu alishaapa kutoiteketeza hii dunia hadi "ujio wa mara ya pili wa Yesu".

"Yaacheni magugu yakue pamoja" maana anaamini wataweza kutubu na kuokoka pia kuna Watakatifu wake Mungu miongoni mwa waovu, mbali na rehema na neema za Mungu kitambo tu hiki kizazi kilipaswa kiwe kimeshateketezwa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kuna dem kazaliwa 90 mwaka 2005 kazaa mtoto, mtoto wake nae kazaa mtoto mwaka huu 2023. Kwa hiyo huyo dem wa 90 ana mjukuu. Vipi nae atoweke duniani? Vipi vizazi viwili atakavyoviacha havitakuwa kama yeye?
@mtoto wa taifa...umejua kunivunja mbavu mkuu...yaani kusema ukweli sisi wa90 tunazingua sanaa....yes mtoa mada yuko sahihi nikizazi ambacho utashangaa wengi wao bado wako nyumbani kwa wazazi wao,wengine wapo tu ukimuuliza anasema sina mishe yoyote hajali wala hashituki ...nikizazi ambacho bado tunahisi mda uko upande wetu.
 
Habari zenu

Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya

Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio sehem ya kufanyia huo ufuska wenu, hapo Bado sijazungumzia mnavyopenda Kwa mparange, yaani hiki kizazi IPO siku kitatuletea moto kutoka mbinguni

Hiki kizazi kinashusha uchumi wa nchi wao wanachojali ni kulewa mapombe na kuvuta mishisha tu hawajali hata kujenga wao kazi yao ni kuomba Hela na kukaa Kwa wazazi wao akijitahidi sana basi ataenda kukaa Kwa shemeji yake,, sasa kizazi kama hichi ni Cha nini hapa duniani kama sio kipo kwaajili ya kututia umaskini tu

Kwenye mmomonyoko wa maadili huko ndo usiseme yaani saiv mpaka tunaogopa kuwaacha watoto nje maana mnayoyafanya pamoja na mavazi yenu yanatuharibia watoto wetu, tumechoka kuwaona mkivaa vijora bila nguo za ndani mnahamasisha na kuwafunza vibaya watoto wetu.

Kwa Leo naishia hapa ila Kila siku nitakuja namwaga nyongo hadi muanze kujiua mmoja mmoja Ili tuishi Kwa amani. In short nyinyi kizazi Cha 90 hatuwapendi Bora mtupishe mkaishi huko maporini
Tatizo ni sisi! Ndio hivyo buana! Hayo maadili ulitaka apewe na dada wa kazi eeh? Au mama/baba mwenyenyumba? Wewe na mkeo mliona fahari ya ufahari ni wewe na mamaye kutoka lukwiri kurudi alfajiri! Ukiwa na maburungutu ya noti mfukoni au mikate ya sia na kuku wasio na baba!

Dada wa kazi mwenyewe kigezo pekee cha kupata kazi ni kwakua naye aliwahi kuwa mtoto. Huko shule anachofundishwa ni namna gani anatakiwa kuwa mmagharibi! Akitakiwakujua kuogelea, kusoma Novo na vitabu vya magharibi huku akisisitiziwa sana kuwa kizaramo ndio lugha pekee ambayo unatakiwa kuijua.

TUSILAUMU TULIPODONDOKEA BALI TULIPOJIKWALIA.
 
Wa miaka ya 90/tumeshazeeka itakuwa umetuchanganya na wa 2000
Hapana nakataa....kitendo Cha kijana wa 90 kukaa kwao au kukaa Kwa shemeji sio vizuri na haitakiwi kufumbia macho kama hamuwezi kutafuta kazi nendeni mkalime maana mashamba yapo mengi tu(hili nalo hamtaki).

Mi naona Hawa wa 90 Bora wauawe tu Ili tujue Moja kwamba Kuna kizazi kilikuwepo na kikafutwa kutokana na matendo yao
 
Jamaa anataka eti tufe kisa tumeleta mabalaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

Nyie si mlikua mnavaa underskirt lkn si tumewaletea tite na bado mnalaumu.
 
Habari zenu

Sio Kwa ubaya ila napenda kuwaomba vijana wa Miaka ya tisini muondoke hapa duniani maana tumewachoka. Kila jambo baya nyinyi ndo wakwanza kulifanya

Hiki kizazi kimekithili umalaya na kimedhamiria haswaaa kueneza umalaya duniani kote..nyinyi vijana tunaomba mtupishe duniani sio sehem ya kufanyia huo ufuska wenu, hapo Bado sijazungumzia mnavyopenda Kwa mparange, yaani hiki kizazi IPO siku kitatuletea moto kutoka mbinguni

Hiki kizazi kinashusha uchumi wa nchi wao wanachojali ni kulewa mapombe na kuvuta mishisha tu hawajali hata kujenga wao kazi yao ni kuomba Hela na kukaa Kwa wazazi wao akijitahidi sana basi ataenda kukaa Kwa shemeji yake,, sasa kizazi kama hichi ni Cha nini hapa duniani kama sio kipo kwaajili ya kututia umaskini tu

Kwenye mmomonyoko wa maadili huko ndo usiseme yaani saiv mpaka tunaogopa kuwaacha watoto nje maana mnayoyafanya pamoja na mavazi yenu yanatuharibia watoto wetu, tumechoka kuwaona mkivaa vijora bila nguo za ndani mnahamasisha na kuwafunza vibaya watoto wetu.

Kwa Leo naishia hapa ila Kila siku nitakuja namwaga nyongo hadi muanze kujiua mmoja mmoja Ili tuishi Kwa amani. In short nyinyi kizazi Cha 90 hatuwapendi Bora mtupishe mkaishi huko maporini
Sasa itakuwaje???
 
Nyie wala rushwa ,wahumu uchumi ni 80 kurudi nyuma ,
Walioharibu nchii hii ,wenye misingi mibovu walio rithisha ni 80 kurudi chini
 
Mbona wewe ulihitimisha kuwa eneo alilofanyia uchunguzi ni mojawapo ya kigezo cha yeye kuwa mdau wa mambo hayo?

Sawa na kujumuisha wote wanaochili maeneo ya baa ni Wahuni/Malaya #HAPANA.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app

Kutumia dating sites sio culture ya watanzania na unaweza kupita mtaani ukawauliza watu ni wangapi wanaijua tinder na utashangazwa na majibu

Kwa hiyo ni nadra mtu kuzijua dating sites kama hakuna hook iliyomfanya awe huko

Pia mkuu, tufanye yes nilikuwa wrong na wewe upo right. Simple tu ili mjadala uishe🙏🏽
 
Back
Top Bottom