Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

Kuna dem kazaliwa 90 mwaka 2005 kazaa mtoto, mtoto wake nae kazaa mtoto mwaka huu 2023. Kwa hiyo huyo dem wa 90 ana mjukuu. Vipi nae atoweke duniani? Vipi vizazi viwili atakavyoviacha havitakuwa kama yeye?
Aondoke haraka sana kwasababu anahamasisha watoto wafanyaje ujinga kama wake
 
U
Umevurugwa au stress za maisha????!!!??
 
Mkuuu naomba usitufokee tafadhali umesahau kuna kizazi cha 2000 ndio balaa kuliko usije ukawa unatufananisha nao maana tukisimama nao sisi ni wadogo kuliko wao wakati kiumri tumewazidi
 
Mkuuu naomba usitufokee tafadhali umesahau kuna kizazi cha 2000 ndio balaa kuliko usije ukawa unatufananisha nao maana tukisimama nao sisi ni wadogo kuliko wao wakati kiumri tumewazidi
Asilimia kubwa ya kizazi Cha 90 wengi wanajifanya wamezaliwa 2000. Reference nenda tinder au badoo angalia walio kwenye huo mri utagundua wengi wao ni vikongwe vya 90 ila vimeamua kuwachafulia wa 2000
 
Nyie kizazi cha 2000 ndio mnaongoza kwa kufeerwa hovyo mkiongozwa na washenzi wakuu Gigy na Amber tigo. Mungu alete gharika tu awafyeke
 
Mkuu itakuwa umechanganya na kizazi cha 2000 maana hao ndio wapo mjini kwa sasa na ukisikia graduation za vyuo ujue ni wao. Kizazi cha 90 wengi wanaingia 30's na kwa umri huu ni ngumu kukutana na hizo tabia

By the way usipanic mkuu, kwenye natural selection ya vifo, kizazi cha 70 na 80 ndio kinaingia kwenye uzee na kama wewe ni wa 60 au 50. Ni vyema ukajiandaa kupumzika bila stress za dunia mpya maana uliyotakiwa kufanya duniani ushayafanya, kwa hiyo usijihangaishe na vitu vitakavyokupandisha presha na kisukari
 
Asilimia kubwa ya kizazi Cha 90 wengi wanajifanya wamezaliwa 2000. Reference nenda tinder au badoo angalia walio kwenye huo mri utagundua wengi wao ni vikongwe vya 90 ila vimeamua kuwachafulia wa 2000
Unaijua tinder na badoo halafu bado unajipa moral authority ya kuhukumu kizazi cha 90's

Mkuu kama wewe sio wa 90's na 2000 bhasi kuna shida mahali. Huwezi kushinda tinder na badoo ukategemea ukutane na malaika. Nyie endeleeni na biashara zenu bila kutusumbua tusiohusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…