Vijana mnafeli wapi mpaka binti kama huyu anafika 29 yupo single ?

Ukizingatia ba mkwe mtata hayupo.....
Au vijana wanawaza nani atawafundisha watoto homework? Make matokeo ya mama tunayo 😁
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani huyo mchumba ake hataki kumuoa? Au anataka kuchuma faranga ili akaoe kwingine?

50/50 iko winja winja, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mleta mada kuna majibu unayatafuta, ila hatukupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…