Vijana mnafeli wapi mpaka binti kama huyu anafika 29 yupo single ?

Vijana mnafeli wapi mpaka binti kama huyu anafika 29 yupo single ?

Wanamajukumu mengi sana, mara mishangazi mara kuramba lipsi tiktok 😂 wataweza wapi kuhudumia
 
Ndoa ni makubaliano ya watu wawili muoaji na muolewaji.
 
Back
Top Bottom