Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,933
Hajibu dm insta tumpateje sasa?!
Hajibu dm insta tumpateje sasa?!
Huyo ni kilaza kwa mujibu wa Baba yake fascist JiweSikutaka tufike huko kabisaa😁 lakini ile miswaki bado anayo kweli hajafanya namna mbka leo hii kweli
muda wote anajifungia kwenye mageti hajichanganyi tutampata wap.sijawah kumuona facebook wala instagram.labda ana mtu wakeHeeee😳😄😂😂😂
Anaolewa yeye kiroba?
Kamba hiiMbona wapo wengi hawakuolewa
- Anne Makinda
Sijamind ila inaonekana ambao hatujaenda shule hatuna hakiMbona kama umemind sana kijana
Ndio akili za vijana wa siku hizi. Midomo mizito kama gunia la bamia, piga sound mtoto analegea kama mlenda kisha piga miti kisawasawa atakubali tu mwenyewe.Uamuzi wa kuolewa sio wa vijana tu, ni wa kwake pia.
Serikali iwanyonge 😁Sijamind ila inaonekana ambao hatujaenda shule hatuna haki
Tutaanza naweweSerikali iwanyonge 😁
Houseboi anatuwakilishamuda wote anajifungia kwenye mageti hajichanganyi tutampata wap.sijawah kumuona facebook wala instagram.labda ana mtu wake
Nimecheka sanaUkizingatia ba mkwe mtata hayupo.....
Au vijana wanawaza nani atawafundisha watoto homework? Make matokeo ya mama tunayo 😁
Eeeh na tena wanasema akili ya mtoto yatoka kwa mama ndio nachoka kabisaa 🤣🤣🤣🤣Ukizingatia ba mkwe mtata hayupo.....
Au vijana wanawaza nani atawafundisha watoto homework? Make matokeo ya mama tunayo 😁
Unakosea, marriage is not for the fools, inahitaji kua na akili kama AI kuishi na Toto la kike la mtu! Inabidi utumie akili nyingi sana ndoa idumu, na ikibidi uwe na weakness fulani la sivyo ukiwa strong UNAMPIGA NA CHINI, hakuna mtu strong anavumilia ujinga.Kuoa in this modern world is not for the weak