LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Labda wanaogopa kuoa Division 4
and for Big Life DreamersKuoa in this modern world is not for the weak
Sikutaka tufike huko kabisaa😁 lakini ile miswaki bado anayo kweli hajafanya namna mbka leo hii kweliLabda wanaogopa kuoa Division 4
Ahahaha..mkuu huku lazima tu tufike hakuna namnaSikutaka tufike huko kabisaa😁 lakini ile miswaki bado anayo kweli hajafanya namna mbka leo hii kweli
Hata uwe tajiri kiasi gani hauwezi kupata watoto wenye akili kutoka kwa mwanamke mjinga. Wapo matajiri walio-oa mabaamedi wakasomesha watoto hadi ulaya lakini bado hamna kitu. If you don't get it forget about it.
Hivi FRESHMAN kwa tafsiri ndo MTU POAPOA?
Alafu hizi ffff kuna zngne zna akili za maisha mzee huezi amini...ndio vile maisha mazuri huyu sijui namna yake lakin lake zone huku naamin atakua anajtambua tu regadless of her family status ama nini🤗Ahahaha..mkuu huku lazima tu tufike hakuna namna
Heeee😳😄😂😂😂kama ana ficha Uchi tumbake?
Fanton nigga podcast 🤣😂and for Big Life Dreamers
Wanaume ni waoga sana kuparamia wanawake wanaotoka katika familia za kifalme ama za kitajiri.
Kweli wanaume kila mtu na hobi yake.Ukiachilia sura Jesca ana sauti nzuri sana mi sikuwa najua anajibu Nini nasikiliza sauti pekee
So wewe ukoo wenu wote ni wasomi?? Anza na bibi yako mzaa bibi mzaa mamaUkizingatia ba mkwe mtata hayupo.....
Au vijana wanawaza nani atawafundisha watoto homework? Make matokeo ya mama tunayo 😁
Mbona kama umemind sana kijanaSo wewe ukoo wenu wote ni wasomi?? Anza na bibi yako mzaa bibi mzaa mama