joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Ukiwa na akili kama AI lazima ndoa uikimbie, AI ni static sio dynamic na ndoa ilivyo ni dynamic kila siku inakuwa na mabadiliko kama akili yako ikiwa static kama AI lazima uchemke.Unakosea, marriage is not for the fools, inahitaji kua na akili kama AI kuishi na Toto la kike la mtu! Inabidi utumie akili nyingi sana ndoa idumu, na ikibidi uwe na weakness fulani la sivyo ukiwa strong UNAMPIGA NA CHINI, hakuna mtu strong anavumilia ujinga.