Vijana mnafeli wapi mpaka binti kama huyu anafika 29 yupo single ?

Ukizingatia ba mkwe mtata hayupo.....
Au vijana wanawaza nani atawafundisha watoto homework? Make matokeo ya mama tunayo 😁
Eeeh na tena wanasema akili ya mtoto yatoka kwa mama ndio nachoka kabisaa 🤣🤣🤣🤣
 
Kuoa in this modern world is not for the weak
Unakosea, marriage is not for the fools, inahitaji kua na akili kama AI kuishi na Toto la kike la mtu! Inabidi utumie akili nyingi sana ndoa idumu, na ikibidi uwe na weakness fulani la sivyo ukiwa strong UNAMPIGA NA CHINI, hakuna mtu strong anavumilia ujinga.
 
Kuna mzito waziri kaweka Kambi pande hizo,wewe utamuweza huyo!!?

Source kigogo alimuonya kuwa huyo waziri ni mgonjwa!!

Mitandaoni huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…