joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,513
- 41,719
Ukiwa na akili kama AI lazima ndoa uikimbie, AI ni static sio dynamic na ndoa ilivyo ni dynamic kila siku inakuwa na mabadiliko kama akili yako ikiwa static kama AI lazima uchemke.Unakosea, marriage is not for the fools, inahitaji kua na akili kama AI kuishi na Toto la kike la mtu! Inabidi utumie akili nyingi sana ndoa idumu, na ikibidi uwe na weakness fulani la sivyo ukiwa strong UNAMPIGA NA CHINI, hakuna mtu strong anavumilia ujinga.
😀😀Ukizingatia ba mkwe mtata hayupo.....
Au vijana wanawaza nani atawafundisha watoto homework? Make matokeo ya mama tunayo 😁
Mdogo angu kama una lengo la ku make huge, dont try that mistake of marryingFanton nigga podcast 🤣😂
Ina tegemeana lakini, japo vijana wengi walio oa sija ona anaye nizidi chochote since wame oa.Mdogo angu kama una lengo la ku make huge, dont try that mistake of marrying
Just dont make that mistakeIna tegemeana lakini,
Usijilinganishe na masikini wenzio, hutaona wamekuzid kitu. Just focus to make itjapo vijana wengi walio oa sija ona anaye nizidi chochote since wame oa.
namaanisha kwenye changes za kibinadamu, sio kimaendeleo.Just dont make that mistake
Usijilinganishe na masikini wenzio, hutaona wamekuzid kitu. Just focus to make it
ukipambana ukawa na maisha bora, pesa hubadilisha vitu vyoote hiv, huwez vipata hiv kwa binadamu. Hasa mwanamkeUna jua Kuna Ile hali someone iki mpata lazima hata appearance, mtazamo una badilika.
basi haukuwa na mtu sahihi, nime kuwa naona mabadiliko kwa wajomba zangu na wana jivunia ndoa zao sana.ukipambana ukawa na maisha bora, pesa hubadilisha vitu vyoote hiv, huwez vipata hiv kwa binadamu. Hasa mwanamke
Kuna watu walimchafua huyu binti ila interview yake na Millard imemsafisha.
Oa na wewe kijana,uhuni tu!!!!basi haukuwa na mtu sahihi, nime kuwa naona mabadiliko kwa wajomba zangu na wana jivunia ndoa zao sana.
My wicked brother from another mother, una endeleaje ?Oa na wewe kijana,uhuni tu!!!!
Namshukuru Mungu,kwema?My wicked brother from another mother, una endeleaje ?
I'm good bro, uli potea nika kosa sehemu ya kutumia subliminal shotsNamshukuru Mungu,kwema?
Mkuu, hata vitabu vya dini vinasema tuishi nao kwa akili, sio kwa nguvu, ujasiri au misimamo. Au unaposema not for the weak unamaanisha nini? Nimetumia AI kumaanisha akili nyingi, sio utendaji kazi wa AI.Ukiwa na akili kama AI lazima ndoa uikimbie, AI ni static sio dynamic na ndoa ilivyo ni dynamic kila siku inakuwa na mabadiliko kama akili yako ikiwa static kama AI lazima uchemke.
AI inalishwa taarifa na binadamu ndio maana nikasema static na ndoa ni Dynamic in nature.Mkuu, hata vitabu vya dini vinasema tuishi nao kwa akili, sio kwa nguvu, ujasiri au misimamo. Au unaposema not for the weak unamaanisha nini? Nimetumia AI kumaanisha akili nyingi, sio utendaji kazi wa AI.
1 Peter 3:7 says, “Likewise, husbands, live with your wives in an understanding way, showing honor to the woman as the weaker vessel, since they are heirs with you of the grace of life, so that your prayers may not be hindered.
AI sio statistic, ni dynamic inajifunza kila siku....ndiyo maana inakua improved every day.AI inalishwa taarifa na binadamu ndio maana nikasema static na ndoa ni Dynamic in nature.
AI zinakuwa trained na binadamu then baada ya hapo ndipo zinakuwa na akili,hazina uwezo wa kuadapt changes. Japo kuna projects za kuzifanya ziwe na uwezo wa kuwa dynamic,ila kwa sasa bado ni static.AI sio statistic, ni dynamic inajifunza kila siku....ndiyo maana inakua improved every day.