political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Hakuna anayezaliwa Shoga acheni kudanganya watu jitu linazaliwa zima tu baadae linakuwa shoga lenyeweKuna ushoga wa kuzaliwa na ushoga wa kujifunza. Siyo mashoga wote wamejifunza, kuna wanaozaliwa na hali ile. Umeshasikia au hata kuona watu wanaoonekana ni wanawake kabisa lakini wanakuwa na ''kajinsia'' ka kiume?
Safi umewachana vizuri hawa makatekista feki.Pambana na hali yako acha kutishia watu, wewe kama ni shoga utakuwa shoga tuu na kama sio shoga hautakuwa shoga , mafanikio hayana uhusiano wowote wa kuwa shoga au laa, good chance hiyo computer unayotumia ni apple na CEO wa apple ni shoga ambaye ni one of the best in business na ni millionaire (successful), mabilioneo wengi wa Hollywood ni mashoga ,wall street & Washington ambako ndio mnaomba ruzuku kulipa mishahara yenu ni mashoga watupu,halafu watu wa dini ndio mmejaza mashoga huko makanisani na mna kesi kila kona ya ulawiti, huko misikitini nasikia waarabu wote wana boyfriends, wanaume na wanawake wengi bila kuingiliana huko nyuma ni kama hawajafanya tendo la ndoa, acheni unafiki nyie, mimi sio shoga lakini nitawatetea mashoga kutokana na wanafiki kama nyie mnaojiona watu safi kumbe dhambi tupu
Well said [emoji122]Mashoga wapo tangu enzi na enzi. Hata mimi nakubali kuwa kuna binadamu wamezaliwa na hitilafu hivyo ushoga kwao ni kama only option. Kinachogomba na kukatisha tamaa ni kuona ushoga sasa hivi unapigiwa debe na kuhimiza watu wawe mashoga. Kwangu mimi ushoga ni ulemavu kama ulivyo ulimavu wowote. Wanasayansi walitakiwa kuwekeza nguvu kwenye kuona namna ya kutatua hili tatizo na siyo kuli-promote. Sisemi wauawe bali nasema tuwe active kwenye kutafuta tiba yake na siyo kama sasa hivi unakuta maandamano yakishirikisha mpaka watoto wadogo eti waukubali ushoga.
Vipi Ben Kinyaiya nasikia naye anapakuliwaHakuna anayezaliwa Shoga acheni kudanganya watu jitu linazaliwa zima tu baadae linakuwa shoga lenyewe
Team upinde umu wapo wengi sasa si wawachukue muende mkaishi uko kwao mkatuachia nchi yetuWe umejuaje? Au we ni shoga?
Eminem ndo naskia LeoMartin, Paul, Ommy, Mtimkavu, Noel n.k
Elton John, Sisqo, Yule mshikaji wa prison break, Eminem n.k
Dudu alisema wabongo fleva wengi ni jinsia ya 3, kuna ukweli?
Wivu tu unakusumbua na utaishia hivyo hivyoMartin, Paul, Ommy, Mtimkavu, Noel n.k
Elton John, Sisqo, Yule mshikaji wa prison break, Eminem n.k
Dudu alisema wabongo fleva wengi ni jinsia ya 3, kuna ukweli?
Na wewe kuwa shogaDunia iko kwenye kipindi cha ajabu sana kuwahi kutokea, kuna campaign kubwa sana ya kuhamasisha ushoga na kuwashawishi vijana waingie kwenye mapenzi ya jinsia moja wakidanganywa kwamba maisha yao yata rahisishwa na yatakuwa ya kifahari yaliyogubikwa na utajiri uliopitiliza.
Kuna mashoga kadhaa wamekuwa wakitumika kama kioo cha kuwahadaa vijana wengi, muongoni mwa mashoga hao ni kijana mmoja ambaye anainekana akiivinjari dunia akila raha za kila aina.
Vijana nawaonya, ushoga una majuto makubwa, matarajio makubwa mapato kidogo, stress, kujidhalilisha na kudhalilishwa.
Ushoga unafungua mlango wa laana na mauti, mshahara wa dhambi no mauti.
Pia ukifanya dhambi ya ushoga nakuhakikishia utakuwa umeukaribisha ushoga kwenye uzao wako.
Utazaa watoto mashoga na utapata wajukuu mashoga. Dhambi ina utamaduni wa kurithi vizazi na vizazi.
Pia dhambi ya ushoga hufunga milango yako ya baraka. Biashara zako hazitakuwa na mafanikio, hazitaweza kujiendesha zenyewe. Hela ya biashara utaitafuta huko kwingine na usoni utazuga una furaha lakini moyo wako unayiririka damu.
Nakusihi sana kijana, maisha magumu na ugumu wa maisha hauishi kwa kufanya ushoga. Fanya kazi halali, dunduliza, jibane nawe utafanikiwa
Huyo Martini anafanya kazi gani, tumjueMartin, Paul, Ommy, Mtimkavu, Noel n.k
Elton John, Sisqo, Yule mshikaji wa prison break, Eminem n.k
Dudu alisema wabongo fleva wengi ni jinsia ya 3, kuna ukweli?
Eminem ameoa na kuacha mara mbili achilia mbali mamia ya bitches wa pembeni na alipiga kwa rihanna vilevile. Ukilinganisha jamaa anawatukana sana hayo mafaggot kwenye ngoma zake.Martin, Paul, Ommy, Mtimkavu, Noel n.k
Elton John, Sisqo, Yule mshikaji wa prison break, Eminem n.k
Dudu alisema wabongo fleva wengi ni jinsia ya 3, kuna ukweli?
Kwa maana hiyo wewe utakubali kuona mtoto wako wa kiume anafanyiwa huo ufirauni?Pambana na hali yako acha kutishia watu, wewe kama ni shoga utakuwa shoga tuu na kama sio shoga hautakuwa shoga , mafanikio hayana uhusiano wowote wa kuwa shoga au laa, good chance hiyo computer unayotumia ni apple na CEO wa apple ni shoga ambaye ni one of the best in business na ni millionaire (successful), mabilioneo wengi wa Hollywood ni mashoga ,wall street & Washington ambako ndio mnaomba ruzuku kulipa mishahara yenu ni mashoga watupu,halafu watu wa dini ndio mmejaza mashoga huko makanisani na mna kesi kila kona ya ulawiti, huko misikitini nasikia waarabu wote wana boyfriends, wanaume na wanawake wengi bila kuingiliana huko nyuma ni kama hawajafanya tendo la ndoa, acheni unafiki nyie, mimi sio shoga lakini nitawatetea mashoga kutokana na wanafiki kama nyie mnaojiona watu safi kumbe dhambi tupu
Usilolijua mtu sawa na usiku wa giza!View attachment 2374087
Huyo kulia mwanenu
Vitaarifa vya kuzusha hivi kutoka kwenye viblog vya ajabuajabu kumchafua goat.