Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

Dunia iko kwenye kipindi cha ajabu sana kuwahi kutokea, kuna campaign kubwa sana ya kuhamasisha ushoga na kuwashawishi vijana waingie kwenye mapenzi ya jinsia moja wakidanganywa kwamba maisha yao yata rahisishwa na yatakuwa ya kifahari yaliyogubikwa na utajiri uliopitiliza.

Kuna mashoga kadhaa wamekuwa wakitumika kama kioo cha kuwahadaa vijana wengi, muongoni mwa mashoga hao ni kijana mmoja ambaye anainekana akiivinjari dunia akila raha za kila aina.

Vijana nawaonya, ushoga una majuto makubwa, matarajio makubwa mapato kidogo, stress, kujidhalilisha na kudhalilishwa.

Ushoga unafungua mlango wa laana na mauti, mshahara wa dhambi no mauti.

Pia ukifanya dhambi ya ushoga nakuhakikishia utakuwa umeukaribisha ushoga kwenye uzao wako.

Utazaa watoto mashoga na utapata wajukuu mashoga. Dhambi ina utamaduni wa kurithi vizazi na vizazi.

Pia dhambi ya ushoga hufunga milango yako ya baraka. Biashara zako hazitakuwa na mafanikio, hazitaweza kujiendesha zenyewe. Hela ya biashara utaitafuta huko kwingine na usoni utazuga una furaha lakini moyo wako unayiririka damu.

Nakusihi sana kijana, maisha magumu na ugumu wa maisha hauishi kwa kufanya ushoga. Fanya kazi halali, dunduliza, jibane nawe utafanikiwa
Aisifuye mvua imemnyea…
Pole sana mkuu kwa matarajio makubwa….
 
Bujibuji umenena cha maana sana. Shime vijana acheni tamaa ya kupitiliza hadi kuingizwa kwenya ushoga.
 
Tatizo linakuja pale mzazi mmoja anapoona tabia ya Mtoto haifai lakini anamtetea mtoto Kwa kigezo cha upendo wa kipuuzi.

Yesu alikuja kukomboa watu wenye utayari.
Sheria ipo Kwa ajili ya kuwafanya waliotayari au wasiotayari wote wafanya Mema.
Ndio maana nikasema wapigwe Shaba.
Sheria za Dini zote zinaeleza hivyo.

Hata tamaduni za kiafrika zilikuwa hivyo
Nakuunga mkono Kuhani wa hekalu jeusi
 
Dunia iko kwenye kipindi cha ajabu sana kuwahi kutokea, kuna campaign kubwa sana ya kuhamasisha ushoga na kuwashawishi vijana waingie kwenye mapenzi ya jinsia moja wakidanganywa kwamba maisha yao yata rahisishwa na yatakuwa ya kifahari yaliyogubikwa na utajiri uliopitiliza.

Kuna mashoga kadhaa wamekuwa wakitumika kama kioo cha kuwahadaa vijana wengi, muongoni mwa mashoga hao ni kijana mmoja ambaye anainekana akiivinjari dunia akila raha za kila aina.

Vijana nawaonya, ushoga una majuto makubwa, matarajio makubwa mapato kidogo, stress, kujidhalilisha na kudhalilishwa.

Ushoga unafungua mlango wa laana na mauti, mshahara wa dhambi no mauti.

Pia ukifanya dhambi ya ushoga nakuhakikishia utakuwa umeukaribisha ushoga kwenye uzao wako.

Utazaa watoto mashoga na utapata wajukuu mashoga. Dhambi ina utamaduni wa kurithi vizazi na vizazi.

Pia dhambi ya ushoga hufunga milango yako ya baraka. Biashara zako hazitakuwa na mafanikio, hazitaweza kujiendesha zenyewe. Hela ya biashara utaitafuta huko kwingine na usoni utazuga una furaha lakini moyo wako unayiririka damu.

Nakusihi sana kijana, maisha magumu na ugumu wa maisha hauishi kwa kufanya ushoga. Fanya kazi halali, dunduliza, jibane nawe utafanikiwa
Mbona tunapenda kudanganyana jaman. Nani kasema kuwa ukifanya ushoga unajifungia baraka zako? Au unamaanisha baraka ya kurithi ufalme wa mbinguni? Maana wapo watu wamefanya ya ajabu na bado wanaendelea kuongezewa tuu katika ulimwengu huu wa shetani
 
Pambana na hali yako acha kutishia watu, wewe kama ni shoga utakuwa shoga tuu na kama sio shoga hautakuwa shoga , mafanikio hayana uhusiano wowote wa kuwa shoga au laa, good chance hiyo computer unayotumia ni apple na CEO wa apple ni shoga ambaye ni one of the best in business na ni millionaire (successful), mabilioneo wengi wa Hollywood ni mashoga ,wall street & Washington ambako ndio mnaomba ruzuku kulipa mishahara yenu ni mashoga watupu,halafu watu wa dini ndio mmejaza mashoga huko makanisani na mna kesi kila kona ya ulawiti, huko misikitini nasikia waarabu wote wana boyfriends, wanaume na wanawake wengi bila kuingiliana huko nyuma ni kama hawajafanya tendo la ndoa, acheni unafiki nyie, mimi sio shoga lakini nitawatetea mashoga kutokana na wanafiki kama nyie mnaojiona watu safi kumbe dhambi tupu
Kutetea mashoga sababu kuna wanaofanya ushoga kinafiki ni kutetea ushoga.

Kuna makundi mawili tu katika hii laana:
1. Wanaopinga ushoga.
2. Wanaoupigania ushoga.

Mengine yote ni style tu za maelezo.
 
Mashoga wapo tangu enzi na enzi. Hata mimi nakubali kuwa kuna binadamu wamezaliwa na hitilafu hivyo ushoga kwao ni kama only option. Kinachogomba na kukatisha tamaa ni kuona ushoga sasa hivi unapigiwa debe na kuhimiza watu wawe mashoga. Kwangu mimi ushoga ni ulemavu kama ulivyo ulimavu wowote. Wanasayansi walitakiwa kuwekeza nguvu kwenye kuona namna ya kutatua hili tatizo na siyo kuli-promote. Sisemi wauawe bali nasema tuwe active kwenye kutafuta tiba yake na siyo kama sasa hivi unakuta maandamano yakishirikisha mpaka watoto wadogo eti waukubali ushoga.
Ushoga si hitilafu, ni mazoezi ya ubongo kuamini kuwa mahitaji ya kingono yanaridhisha yakihusisha njia ya haja kubwa na uume wa mwanaume mwingine.

Hakuna itilafu hapo, ni sawa tu na fantancy nyingine kama kunyonyana ndimi, viungo vya uzazi n.k ni mtu anatrain ubongo kuamini hivyo au anasaidiwa kuutrain tangu akiwa kijana mdogo. Na hii inatokana na udadisi usio na mipaka.
 
Kutetea mashoga sababu kuna wanaofanya ushoga kinafiki ni kutetea ushoga.

Kuna makundi mawili tu katika hii laana:
1. Wanaopinga ushoga.
2. Wanaoupigania ushoga.

Mengine yote ni style tu za maelezo.
huyo Matawi ya juu Ni shoga pia, halafu anatolea mfano misikitini,wakati mapadri ndio Wana kashfa ya ufirraji kila uchao mbwaa huyu
 
Ushoga si hitilafu, ni mazoezi ya ubongo kuamini kuwa mahitaji ya kingono yanaridhisha yakihusisha njia ya haja kubwa na uume wa mwanaume mwingine.

Hakuna itilafu hapo, ni sawa tu na fantancy nyingine kama kunyonyana ndimi, viungo vya uzazi n.k ni mtu anatrain ubongo kuamini hivyo au anasaidiwa kuutrain tangu akiwa kijana mdogo. Na hii inatokana na udadisi usio na mipaka.
Kuna ushoga wa kuzaliwa na ushoga wa kujifunza. Siyo mashoga wote wamejifunza, kuna wanaozaliwa na hali ile. Umeshasikia au hata kuona watu wanaoonekana ni wanawake kabisa lakini wanakuwa na ''kajinsia'' ka kiume?
 
Back
Top Bottom