Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

Martin, Paul, Ommy, Mtimkavu, Noel n.k
Elton John, Sisqo, Yule mshikaji wa prison break, Eminem n.k

Dudu alisema wabongo fleva wengi ni jinsia ya 3, kuna ukweli?
Sisqo wa Dru hill? Au mwingine
 
Kuna mwamba kasema ile clip aliyokiri kuwa naye ni muumini ilikuwa ni prank, hivyo pengine ni sahihi kuwa sio muumini pia.

Kuoa, kuacha, kupiga kina Rihanna n.k inawezaje kuwa ni sababu ya kupinga? Nimesikia kuna msanii maarufu huko Nigeria akisemwa kuwa amepatwa na shida, aliyemsema ni mwandani wake, ni kwa muda gani, sijui!
Ni kipande cha comedy movie inaitwaThe Interview 2014 ya seth rogen.
 
Martin, Paul, Ommy, Mtimkavu, Noel n.k
Elton John, Sisqo, Yule mshikaji wa prison break, Eminem n.k

Dudu alisema wabongo fleva wengi ni jinsia ya 3, kuna ukweli?
Hata Eminem ni shoga
 
Pambana na hali yako acha kutishia watu, wewe kama ni shoga utakuwa shoga tuu na kama sio shoga hautakuwa shoga , mafanikio hayana uhusiano wowote wa kuwa shoga au laa, good chance hiyo computer unayotumia ni apple na CEO wa apple ni shoga ambaye ni one of the best in business na ni millionaire (successful), mabilioneo wengi wa Hollywood ni mashoga ,wall street & Washington ambako ndio mnaomba ruzuku kulipa mishahara yenu ni mashoga watupu,halafu watu wa dini ndio mmejaza mashoga huko makanisani na mna kesi kila kona ya ulawiti, huko misikitini nasikia waarabu wote wana boyfriends, wanaume na wanawake wengi bila kuingiliana huko nyuma ni kama hawajafanya tendo la ndoa, acheni unafiki nyie, mimi sio shoga lakini nitawatetea mashoga kutokana na wanafiki kama nyie mnaojiona watu safi kumbe dhambi tupu
Bwan matawi Ni kweli ushoga upo na Kuna wanafiki wengi Sana wanafanya hakun was kumuamini juu ya swala hili

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sijui, alikuwa anakaa Upanga, alianza na.punga kabla hajawa boflo. Punga ilipigwa life ban.

Vijana wa leo kwa ile mikwara ya Boflo wangemkanyaga sana. Akiomba namba ya simu ukimpa tu, anakurushia laki, akiomba mkutane anakurushie laki nyingine ya taxi
Duh
 
Dunia iko kwenye kipindi cha ajabu sana kuwahi kutokea, kuna campaign kubwa sana ya kuhamasisha ushoga na kuwashawishi vijana waingie kwenye mapenzi ya jinsia moja wakidanganywa kwamba maisha yao yata rahisishwa na yatakuwa ya kifahari yaliyogubikwa na utajiri uliopitiliza.

Kuna mashoga kadhaa wamekuwa wakitumika kama kioo cha kuwahadaa vijana wengi, muongoni mwa mashoga hao ni kijana mmoja ambaye anainekana akiivinjari dunia akila raha za kila aina.

Vijana nawaonya, ushoga una majuto makubwa, matarajio makubwa mapato kidogo, stress, kujidhalilisha na kudhalilishwa.

Ushoga unafungua mlango wa laana na mauti, mshahara wa dhambi no mauti.

Pia ukifanya dhambi ya ushoga nakuhakikishia utakuwa umeukaribisha ushoga kwenye uzao wako.

Utazaa watoto mashoga na utapata wajukuu mashoga. Dhambi ina utamaduni wa kurithi vizazi na vizazi.

Pia dhambi ya ushoga hufunga milango yako ya baraka. Biashara zako hazitakuwa na mafanikio, hazitaweza kujiendesha zenyewe. Hela ya biashara utaitafuta huko kwingine na usoni utazuga una furaha lakini moyo wako unayiririka damu.

Nakusihi sana kijana, maisha magumu na ugumu wa maisha hauishi kwa kufanya ushoga. Fanya kazi halali, dunduliza, jibane nawe utafanikiwa
Ni kweli kabisa
 
Sio mashoga tu hata wanawake wanaojiuza na kusagana.Shida tuliyonayo ni vijana wa sasa hivi hawapendi kusikia ushauri hata utumie mbinu gani, ni wachache sana walio wasikivu.Tumeamua kukaa pembeni tunawaangalia tu yaani yetu macho na masikio.Mtoto akililia wembe usimnyime
 
Mashoga wapo tangu enzi na enzi. Hata mimi nakubali kuwa kuna binadamu wamezaliwa na hitilafu hivyo ushoga kwao ni kama only option. Kinachogomba na kukatisha tamaa ni kuona ushoga sasa hivi unapigiwa debe na kuhimiza watu wawe mashoga. Kwangu mimi ushoga ni ulemavu kama ulivyo ulimavu wowote. Wanasayansi walitakiwa kuwekeza nguvu kwenye kuona namna ya kutatua hili tatizo na siyo kuli-promote. Sisemi wauawe bali nasema tuwe active kwenye kutafuta tiba yake na siyo kama sasa hivi unakuta maandamano yakishirikisha mpaka watoto wadogo eti waukubali ushoga.
Scientists invented HIV/AIDS to eliminate homosexuals
 
Back
Top Bottom