Vijana msithubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo kwa watoto na mke

Maana yake unatwambia kila mtu hapa tanzania hayuko salama. Mtu kama mdude hana bunduki wala silaha yoyote ya kutudhuru, inakuwaje apigwe na kupotea namna hiyo wakati ni mtu ambaye hawezi kujitetea kwa silaha.
 
Kwa kweli
 
Maana yake unatwambia kila mtu hapa tanzania hayuko salama. Mtu kama mdude hana bunduki wala silaha yoyote ya kutudhuru, inakuwaje apigwe na kupotea namna hiyo wakati ni mtu ambaye hawezi kujitetea kwa silaha.
Unauliza swali Gani Hilo wewe unaishi nchi gani wewe ni mtanzania kweli
 
Hiki kizazi cha sasa cha wala chips kamwe kisingeweza kudai uhuru kutoka kwa wakoloni, ktk struggle zozote za kudai mabadiliko baadhi lazima tutaumia kwa faida ya wengi hapo baadae.
Mdude sio wa kwanza, nadhani umewasahu akina Mawazo na wengine.
Na damu ya mtu haiendagi hivi hivi, malipo ni hapa duniani...Jiwe alikuwa ni zaidi ya huyu mvaa ushungi leo yuko wapi?!
 
Toka kapambane na Dola sio unakaa humu keyboard warrior kazi kubana pua
 
Uzi umenyooka huu.

Pambana na dola ukiwa msituni umeshika mtutu dola itakuelewa,sio unapambana na dola eti umelala nyumbani hata mbwa wa kukulinda auna,alafu unaipa serikali siku tatu ifate maagizo yako wewe panya.
Kabisa mkuu wewe unapambanaje na majitu ambayo yanasiraha wewe mkononi hata manati huna utakua huna akili ukiuliwa wakati kulikuana njia ya kujiepusha nao
 
hii kampuni ina watu wa hovyo sana......akili mbovu kama za musiba! wacha kiwaramabe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…