Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
-
- #121
We mjinga kweli haki unaipigania kwenye keyboard unafikiri inapatikana kilofa hivyo unabana pia humu eti haki haki tanzania Kuna haki utayopata kirahisi hivyoKwa hiki kiwango chako cha akili ulichonacho basi nadhani utakuwa sahihi kushabikia kuwa wanao pigania haki zako hawana maana.
Haki kaiombe Kwa baba Yako akuhudumie sio Kwa tanzania hii hupati haki kimama hivyo Mimi naongea uhalisia sio mnafikihuna akili kama unadhani mimi nipo kimachafuko, mimi nipo kuhamasisha haki na demokrasia pamoja na amani sio machafuko mbumbumbu wewe
Ndio maana nikasema mdude ni jitu jinga sana linafanya harakati uchwara nchi kama tanzania ambayo ni ya keyboard warriorShida ni kwamba hata kama watu tukijikausha, bado deep down tunaona uchungu kwa yanayotendeka, ni sawa na kukimbua kivuli chako - injustice ikitokea any sane man will notice;Hata wewe hoja yako sio watu kuunga mkono mauaji isipokua ni umeumia na kulalamika sababu waTz ni keboard warriors, it means unasupport watu wasiwe keyboard warriors , wasupport wanaharakati wao kwa hali na mali.
Hata wewe kuandika huu uzi tayari inaonesha uko troubled na uzombi wa waTz licha ya injustice.
Mimi ndio nipo salama sababu Nina akili nimesoma alama za nyakati siwezi kuja kukamatwa hata siku Moja Kwa mambo ya siasa wajinga kama mdude ndio watapotezwa Kwa kujifanya wanaharakati uchwara eti wapambania nchi jinga kabisakwahiyo wewe unaamini upo salama sana
KITIMOTO wewe.Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu
Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake inateseka mwanamke Kawa kama kichaa kisa ujinga wake nilishasema Mtanzania acha afe na njaa
Vijana msisubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo Kwa watoto na mke na watu wanakusahau watanzania ni wazee wa keyboard warrior tu huwezi ukapata haki Tanzania narudia tena Tanzania hamna haki Kila mtu apambane tumbo lake mpaka hatima yake ya mwisho duniani
We nguruweKITIMOTO wewe.
Matackle wewe unataka tumuache Samia afanye atakalo tu? Tutapambana nae kiulalo ulalo hadi kieleweke mpuuzi wewe.We nguruwe
📌💯Halafu ni too childish sana.
Ms inaonesha anaumia sana sana na maandishi ya watu humu.Kwani hili neno keyboard worrier kaliandika mara nyingiii isivyo kawaida.Hata shule hamna humu.
Jambo la kumfunza huyu ni anatakiwa ajue kuwa kalamu ina nguvu kuliko bunduki.
Hata hivyo ni nini faida ya unyama ule kwa aliyeagizana aliyetekeleza? Hata kwako wewe unayefurahia haya mabaya machoni pa mwenyezi Mungu unanufaika nayo vipi?
Mungu huwa ni muweza ya yote.
Huna akili mzee, nyie ndio mtaji wa CCM na ujinga mwingi sana.Wewe Kwa akili Yako upo huru aisee ndio maana nikasema wajinga wengi nchi hii
Keyboard warrior unabana pia ukiwa ndani ya shukaHuna akili mzee, nyie ndio mtaji wa CCM na ujinga mwingi sana.
Keyboard warrior umefanya nini mpaka SasaMatackle wewe unataka tumuache Samia afanye atakalo tu? Tutapambana nae kiulalo ulalo hadi kieleweke mpuuzi wewe.
Wengine wamezaliwa na hzo harakati ndio hatma zao...hayo mengine sijui familia ,mke ,nk sio vipaumbele vyao..Leo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu
Hivi unaanzaje kufanya uhanaharakati uchwara tena Kwa uwazi kabisa Tanzania hii unajua Kuna vitu vingine ni vya kilofa sana haya Sasa anaacha familia yake inateseka mwanamke Kawa kama kichaa kisa ujinga wake nilishasema Mtanzania acha afe na njaa
Vijana msisubutu kufanya uhanaharakati uchwara mwisho wa siku unaacha mzigo Kwa watoto na mke na watu wanakusahau watanzania ni wazee wa keyboard warrior tu huwezi ukapata haki Tanzania narudia tena Tanzania hamna haki Kila mtu apambane tumbo lake mpaka hatima yake ya mwisho duniani
Kama wamezaliwa na hizo harakati Bora angehasiwa asingeoa mwanamke pumbavu yule mke wake analia kama chizi Kwa ujinga wake anatesa mtoto na mkeWengine wamezaliwa na hzo harakati ndio hatma zao...hayo mengine sijui familia ,mke ,nk sio vipaumbele vyao..
Unawashaurije muoga wewe?????
Keyboard warrior we mbona hufanyi harakati jibu ni wewe ni muoga wa kichapoUnaleta vitisho kwa sababu we umeshiba na uko upande unaofanya dhuluma. Acha vijana wafanye harakati za kuleta mabadiliko, kuondoa dhuluma na madhambi mengine
umeshiba halafu unatisha vijana wasifanye harakati. Vijana ndio wanaoleta mabadilikoKeyboard warrior we mbona hufanyi harakati jibu ni wewe ni muoga wa kichapo
Harakati za keyboardumeshiba halafu unatisha vijana wasifanye harakati. Vijana ndio wanaoleta mabadiliko
Wewe no muoga na mbinafsi.Unafikiri kuhusu uhai wako tu,na sio maslahi na maisha ya watu wengine.Watu kama Lissu,Mdude,Lema lazima wawepo ili kuleta mabadiliko katika jamiiLeo imetoka taarifa ya Mdude Nyagali mwanaharakati uchwara kutekwa aisee katika watu niliokua nawaona harakati uchwaa mmoja wapo ni huyu