Vijana na Wazee Arusha waahidi kura ya Ndiyo kwa Katiba Inayopendekezwa

hhahahaaa.. Subiri tamko la ijumaa ndo utajua. Ila najua hata wewe unapigatu hela zao, ila badae nikura ya hapana tu!.. Raha sana.

we jidanganye tuu na unafki wako, nkushangae wewe unaeipinga afu mwisho wa siku unapiga ndiyoooo na katiba hii inapita kwa ushindi wa tsunami!!
 
hayo ni mawazo yake tu kwani kakatazwa? Hata wewe unaweza ukalala ukaamka na kunadika kitu kama hiko na ukakipost na watu wakakichukua na kuwapa watu.

No, hiyo inaitwa COMMON SENSE ambayo ninyi mmeikataa kuitumia baada ya kulambishwa buku 7.
 
Shingapi kwa kila bandiko lako? ngoja nkuvute ili mzigo uongezekee.. tehteh.
 
Unauza tigo?
 
Mwambie alokuzaa hayo maneno na acha shobo ntakuoa.

Utaoaje wakati umeolewa, umekamatika hadi ufahamu, njaa imepanda kichwani na akili ikashuka tumboni. Wanasema changanya na zako lakini wewe zako huna, unapokea tu kila unachopewa.
 
Mimi sitoki Arusha, ila kwa katiba hii pendekezwa jibu ni HAPANA.
 
Utaoaje wakati umeolewa, umekamatika hadi ufahamu, njaa imepanda kichwani na akili ikashuka tumboni. Wanasema changanya na zako lakini wewe zako huna, unapokea tu kila unachopewa.

Anapokea tu kama mboo yote inaingia
 
Utaoaje wakati umeolewa, umekamatika hadi ufahamu, njaa imepanda kichwani na akili ikashuka tumboni. Wanasema changanya na zako lakini wewe zako huna, unapokea tu kila unachopewa.

We ndo umeolewa na hao walokutuma useme hayo maneno, bado na mimi nkuoe uache shobo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…