Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Ney wa mitego mbna kasema kweli.Nimeusikia jana, ni mzuri ila haufai...anatuharibia vijana wetu, eti wasioe....waolewe au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ney wa mitego mbna kasema kweli.Nimeusikia jana, ni mzuri ila haufai...anatuharibia vijana wetu, eti wasioe....waolewe au?
Ukimuoa tu ananenepa gafla anakua tukunyema
MITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja.
1 WAKORINTHO 7
Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
MARKO 10:7
Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake.
MATHAYO 19;5
Na Mungu alisema,
'Hii ndiyo sababu mwanaume atawaacha baba na mama yake na kuungana na mke wake. Na hao watu wawili watakuwa m'moja
MWANZO 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili m'moja.
MWANZO 2:18-25
BWANA Mungu akasema,
Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Ndoa tamu wewenikafe uko😄
nithibitishieNdoa tamu wewe
Hadi uiishinithibitishie
Ngoj nijaribuHadi uiishi
Hapana dada anguKwahyo mimi ni shetani mkuu
😂😂😂😂😂Hapana dada angu
jinsia ke kwa ujumla ni mashetani. Kwani umesahau pale edeni kulitokea nini? Umesahau wafalme na wakuu mbali mbali jinsi walivyouwawa na ke samsoni, yohanna mbatizaji, magufuli, carlos, nk, unadhani hatujui lengo la mkutano wa beijing? Au makubaliano ya shetani na mwanamke? Yaani ke wote kwaujumla ni kaimu mashetani sababu wanamsaidia shetani kuharibu dunia,!Mkuu,mleta mada ni shetani ama jinsia ke kwa ujumla ni mashetani 😂😂
halafu walipokua na umri wa 20, to 27 wakitongozwa na waoji wenye nia unakuta walikua na majibu ya uharo. ,Mara ooh nina mtu wangu mara kwasasa sifikirii ndoa labda huko badae badae ni make money kwanza, au hivi ukiniangalia mi na wewe kweli tunaendana, nk. Halaf wakifikisha umri wa 30 to 40 ndio wanaanza kujifanya washauri na kuigiza u mke mwema ili yoyote atakaejaa ukutane na moto visirani jeuri kutaka usawa na upumbavu mwingi plus uchawiWanawake weng jf ni vibungo na asilimia kubwa ni singo maza,ujana washauchezea now ndo wanatafuta wa kumalizia nae uzee
😁😁😁halafu walipokua na umri wa 20, to 27 wakitongozwa na waoji wenye nia unakuta walikua na majibu ya uharo. ,Mara ooh nina mtu wangu mara kwasasa sifikirii ndoa labda huko badae badae ni make money kwanza, au hivi ukiniangalia mi na wewe kweli tunaendana, nk. Halaf wakifikisha umri wa 30 to 40 ndio wanaanza kujifanya washauri na kuigiza u mke mwema ili yoyote atakaejaa ukutane na moto visirani jeuri kutaka usawa na upumbavu mwingi plus uchawi