Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
- Thread starter
- #81
Sisi tumewazaa alafu anatuita mashetan atuombe msamahaSema we jamaa kyuma sana😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tumewazaa alafu anatuita mashetan atuombe msamahaSema we jamaa kyuma sana😂
Yesu hakusema lolote juu ya nyie ma brother mnaowaambi mademu.Yesu alisema,Kizazi hiki ni cha Zinaa na Dhambi.
Ndiyo maana wanapenda zinaa na uasherati mf.akina kataa ndoa na Chaputa members.
AiseeNakazia ujumbe wako mkuu,umenena vema sana
Zinaa ni dhambiSoko la ndoa limeharibika.
Utabiri wa Kwenye Isiah 4:1 umeanza kutimia mkuuTunakushukuru kwa kutapatia ukumbusho mzuri.
Hakika , Mimi ntalifanyia kazi wazo lako.
Lakini mbona imekuwa ghafla Sana now days KE kupambania Sana ndoa
Je ni UPENDO au MAISHA au umri au wave la watoto wa 2000s kuwa kubwa?
Kutomb(a) usiku hakuna uhusiano wowotee na ndoa.Imagine na baridi hiii mtu anajikunyata usiku, asubuhi anaamka yupo busy kukataa ndoa. Kuwekewa upaja usiku kutam jamani, au kugeuziwa mgongo ukutanishwe na nundu iliyoshiba, yaani nyie siwaelewi kabisa...
Wanawake mkitaka mapinduzi katika maisha, nanyi muwaoe wamaume, kwani wamaume wanapowaoa ni lazima wapate hela? Ni maamuzi tu, hela mnatafuta pamoja!Yaani sisi tuwaoe nyie 😁😁🤣😁🤣 hela hatuna
Jibu lipo kwenye sentensi yako na jibu UNALO.
#YNWA
zinaa ni dhambiTunakushukuru kwa kutapatia ukumbusho mzuri.
Hakika , Mimi ntalifanyia kazi wazo lako.
Lakini mbona imekuwa ghafla Sana now days KE kupambania Sana ndoa
Je ni UPENDO au MAISHA au umri au wave la watoto wa 2000s kuwa kubwa?
Utabiri wa Kwenye Isiah 4:1 umeanza kutimia mkuu
Awwww ThubutuWanawake mkitaka mapinduzi katika maisha, nanyi miwaoe wamaume, kwani samaume wanapowaoa ni lazime wapate hela? Ni maamuzi tu, hela mmatafuta pamoka!
Halafu mwanaume uliyemuoa, ukimtaliki, mnagawana mapato ma mali pasu bin pasu!
Wanandoa ndio vitomb(I) na vitomb(wi) balaaaaa.zinaa ni dhambi
Zinaa ni uchafu
HIVYO oeni
It is glitching in my mind.MITHALI 18:22
Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA.
WAEFESO 5:31
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili m'moja.
1 WAKORINTHO 7
Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.
MARKO 10:7
Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake.
MATHAYO 19;5
Na Mungu alisema,
'Hii ndiyo sababu mwanaume atawaacha baba na mama yake na kuungana na mke wake. Na hao watu wawili watakuwa m'moja
MWANZO 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili m'moja.
MWANZO 2:18-25
BWANA Mungu akasema,
Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
😸😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Ndoa ni muunganiko wa wahuni wawili wenye malengo mawili tofauti.
Lengo la mume ni kuondoa sugu za upwiru kila alfajiri, na lengo la mke ni kufugwa na kulishwa ili kuepuka jua kali la saa saba.
Hapo katikati kuna msuguano mkali. Mchuano wa kukata na shoka baina ya upwiru na utapeli.
Cc : Binti Kimario Depal
😁😁😁😁Umetema madini mazito sana, mpaka hisia zangu zinaniambia nikutunuku cheo cha mke wa tano; hapo unasemaje?
🤣🤣🤣Bado hamjasema, yaani mpaka mseme
zinaa ni dhambi
Zinaa ni uchafu
HIVYO oeni
Mimi sina mwanamke na sina mpango wa kuoa na hiyo zinaa sifanyi
Mi nataka nikuoe mamyYaani sisi tuwaoe nyie 😁😁🤣😁🤣 hela hatuna
Wanaume tupo ili tuwapende😁😁😁😁