Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa


Tatizo lenu mkishaolewa badala ya kuwa Watii kwa wanaume zenu mnaanza mashindano na ujeuri usio na maana na amri chungu nzima πŸ‘ŒπŸ‘Œ
Yaani Mwanaume asiishi
Maisha yake halisi isipokuwa aishi utakavyo wewe.
Umchagulie marafiki, umywnganishe na wazazi na ndugu zake n.k,
Imagine?!
 
Mkuu,mleta mada ni shetani ama jinsia ke kwa ujumla ni mashetani πŸ˜‚πŸ˜‚
jinsia ke kwa ujumla ni mashetani. Kwani umesahau pale edeni kulitokea nini? Umesahau wafalme na wakuu mbali mbali jinsi walivyouwawa na ke samsoni, yohanna mbatizaji, magufuli, carlos, nk, unadhani hatujui lengo la mkutano wa beijing? Au makubaliano ya shetani na mwanamke? Yaani ke wote kwaujumla ni kaimu mashetani sababu wanamsaidia shetani kuharibu dunia,!
 
Wanawake weng jf ni vibungo na asilimia kubwa ni singo maza,ujana washauchezea now ndo wanatafuta wa kumalizia nae uzee
halafu walipokua na umri wa 20, to 27 wakitongozwa na waoji wenye nia unakuta walikua na majibu ya uharo. ,Mara ooh nina mtu wangu mara kwasasa sifikirii ndoa labda huko badae badae ni make money kwanza, au hivi ukiniangalia mi na wewe kweli tunaendana, nk. Halaf wakifikisha umri wa 30 to 40 ndio wanaanza kujifanya washauri na kuigiza u mke mwema ili yoyote atakaejaa ukutane na moto visirani jeuri kutaka usawa na upumbavu mwingi plus uchawi
 
😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…