Vijana oeni sisi wanawake ni watu wema na Mungu ameagiza muoe. Acheni kufanya zinaa

Kuna kitu kinanichanganya, hivi nikioa mke zaidi ya mmoja bado ni zinaa?
 
Kwa kweli wanawake mmetukatisha sana tamaa katika hili swala zima la kuoa aisee.
 
nakuunga mkono
 
Kwa kweli wanawake mmetukatisha sana tamaa katika hili swala zima la kuoa aisee.
Nooo ni vile tu hujakutana na aliyetoka kwenye ubavu wako na siku ukikutana naye utasema huyu ni mifupa katika mifupa yangu na ni nyama katika nyama zangu .......utakutana siku 1
 
Maisha yamebadilika, kwNi nyie wanawake kusaoa wanaume mnashindwa nini?
 
BICHWA KOMWE - Umetisha Sana kwa Kweli 😂
 
Nakazia ujumbe wako mkuu,umenena vema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…