Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

Mkuu una umri gani so far?

Nilivyokua mdogo walikua wanatuita enchamu...
Ila kadri umri unaenda na maisha kupigika hayo mambo unasahau kabsa na sura inakua serious na kutake uhalisia wa mwanaume.

Sasa kama una majukumu halafu bado unawaza sura, yani ndio inakupa kula either ni MARIOOO au NCHICHA MWIBA hauchomi wala hauumi wenyewe ni mboga tamu inaongeza damu...
 
Hata sisi wenye pesa tunapata favor na kushobokewa pia ni ngumu kudhaniwa wezi kuliko nyie wenye sura nzuri
 
Anaposema "favor" anamanisha wanaliwa tgo... Biashara ya ushoga ina terminology nyingi.. mwanaume rijali hawez kujiita handsome, anyways uza tu tgo ni yako
Kwani terminology handsome inatumika kwa mtu wa jinsia gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…