Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Aisee, mi nipo kwenye compound ya watu watatu kila mtu kivyake ila unaweza kukuta dirisha nimeacha wazi kabisa, mlango nimeufungua na mtu anaingia kwake anawaangalia hata kusalimia hasalimii aisee. Acha kabisa...!
Daaah.....

Hatari mkuu wangu....

"Humility , humbleness ,down to earth" HULIPA zaidi ya UMBUBU.....

Umbubu sio kabisa mzee...umbubu ni KIBURI...na kiburi cha mtu hakimuathiri mwengine bali huathiri MOYO wa mfanya kiburi....it takes years to see the results.....[emoji1787][emoji1787]

NEVER GIVE WISDOM TO UNWORTHY AS IT IS UNJUST TO THE KNOWLEDGEABLE [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wewe usalimiwe ukiwa km nani?
[emoji1787][emoji1787]
Mzee baba kwani kusalimiana ni "utumwa" ?!!!

Hivi humbleness ina hasara ?!!

Hivi cruelty ina faida kwa jamii ?!!

Hivi wazee wa DIPLOMASIA ambao wanawaingizia fedha za kigeni hapo chugga huwa wanafanya kazi zao za kimataifa kwa UMBUBU huo usemao ?!! [emoji1787][emoji1787]

Real talk brother...!

Mtu anashindwa kuwa kind wakati it doesn't cost a thing, sio tabia ya kulelewa/kuwalea watoto kwenye maadili kama hayo mkuu.
 
[emoji1787][emoji1787]
Mzee baba kwani kusalimiana ni "utumwa" ?!!!

Hivi humbleness ina hasara ?!!

Hivi cruelty ina faida kwa jamii ?!!

Hivi wazee wa DIPLOMASIA ambao wanawaingizia fedha za kigeni hapo chugga huwa wanafanya kazi zao za kimataifa kwa UMBUBU huo usemao ?!! [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Hilo swali ukiwauliza vizuri watakujibu
 
Hamna Ila sasa una mazoea nao mpaka wakusalimie yaweza ikawa wanakuona km mchawi wewe huchomi dawa upo upo tu hawakuelewi haupo kwenye system zao
Wanashindwa kupanua tu bongo zao....

Mbona kuna watu "wanachoma" na huwa "versatile" na kuwaweka watu katika "zones" zao walivyo....[emoji1787]

Back
Top Bottom