Vijana wa CHADEMA kujadili ulinzi wa Rais ni upuuzi na kukosa kazi za kufanya

102 vehicles? All SUV !?[emoji15][emoji15][emoji15] plus 3 hedkoptaz!

Matumizi mabaya ya fedha za walipa Jodi
1. Taifa maskini
2. Watanzania maskini waliowengi
3. Elimu duni
4. Afya duni

Makodi mengi

Halafu hayo ndio matumizi kuunguza kodi Badala ya maendeleo
 
Wewe hapa umejadili kuhusu tozo za miamala ya simu? au ni ile nyani haoni kundule?
 
Bavicha bawacha na wengine I yaani chagadema yote akili zo mbovu wanahiji vipi ulinzi wa raia namba Moja? Kama qanaona hamna umuhimu wa ulinzi kwa viongozi kilichomfanya gaidi wao mbowe achukue wanajeahi waliofukuzwa kazi kuja kumlinda walikuwa na maana Gani yaani wanataka magaidi wa chadema wamzuru kirahisi namna hiyo?
 
Mama awashukuru Mabeberu, kesha chanja Johnson@Johnson. Mwendazake alitegemea Ulinzi kama huo, lakini virus vya Covid 19 viliupenya ulinzi wake na kumbatiza jina la Mwendazake mpaka leo hii. Ma- CCM yaache Kufuru kwa Mungu, tusije mpoteza Mama na Rais wetu.
 
Sababu tunalipa kodi,kodi zetu zinapochezewa inauma,pia wabongo kwa upigaji tunawajua wanaweza ongeza ulinzi Ili kuhalalisha upigaji,huyo mama hata atembee alone kariakoo nani anashida nae.
Kama huna makuu maadui watoke wapi sasa.
 
Muwe mnakubali ukweli mfanikiwe ,kodi gani mnazojadili wakati michango ya cdm tu inawashinda kujadili?
Sio KILA mtza ni cdm,msihalalishe vyanzo vipya vya upigaji kwa kisingizio cha ulinzi.
 
Jakaya Kikwete na Mzee Ruksa wanatembea na gari moja ya ulinzi,gari moja tu. Mwalimu Nyerere alipokuwa rais alikuwa ana ferry kati ya Ikulu na Msasani na gari moja tu ya ulinzi.
Lakini hayo magari unayoyaona hapo siyo yote yanahusika na ulinzi.
Lakini,ndiyo,watu wakimwona rais analindwa kama rais wa Afghanistan, au rais wa Amerika,watakosa imani na rais.
Halafu gharama zake.
 
Hii hapa picha: Boris Johnson na Volodymyr Zelenskyy walipotembea maeneo ya Kyiv wakiwa chini ya ulinzi mkali wa vikosi vya usalama. Kwa sababu ya VITA inayoendelea.


Hizi picha hapa chini zinaonesha ulinzi mkali wa Rais Samia! Sasa unajiuliza, je tupo vitani na nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…